Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

''Dushe mkononi.. Papuchi kwa jirani!'' Ndio mijineno yao hiyooo.. Inawezekana aiseee
 
Inasemekana eeetii mademu wengi humu JF ni wa uswazi, wakina Mwajuma Nikome.
Hii inatokana na post zao na comments zao.

Madem wa geti kali hawaijui JF wao wapo insta, fesibuku na twita.

Miss Natafuta, Shunie
Jee na vijana wengi wa humu tuwaitaje? maana comment za wengi wao ni kama 'mwanjo mwanjo'
 
Utofauti wa Jf na huko ulikotaja watu hawatumii majina na picha zao halisi, hapa ni sehemu mtu unaweza kuja kutolea stress zake zote na kuandika usichoweza kuandika kwenye mitandao mingine, by the way hao watoto unaoita wa uswazi ndo tunawapendaga!
 
mwanaume umekaa ukaandika ujinga huu.. halafu ni wa ushuani.. hasara hiyo
 
Ndiyo maana ya hii kuitwa community, wa uswaz wanajifunza ya ushuani na vice versa. Dhambi ya kubaguana mkiianzisha haitaishia hapa.
Mbona povu jingi?
Hujui jukwaa gani Hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…