Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KITABU KIPO MITAMBONI SOON KITADONDOKA..Jirani yangu wa kwa mtongani ibra hivi story iliisha au ndio ulituishia njian
uko fb mm sipo kabisa nilishafutaga accKITABU KIPO
KITABU KIPO MITAMBONI SOON KITADONDOKA..
lakini unaweza kupata riwaya zangu nyingine ukitafuta ukurasa wangu fb
NA kila mtu kafika chuo kikuu huku hakuna la saba huku jf [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huku wana magari, nyumba, kazi, ndoa, michepuko na phd sio wa sport sport wewe
Unaweza kugoogleuko fb mm sipo kabisa nilishafutaga acc
Uko sahihi kabisa mkuu.NA kila mtu kafika chuo kikuu huku hakuna la saba huku jf [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio, we unahisi zinafanana?Watu wa Uswazi DNA yako iko tofauti na watu wengine ama...?
Ni kweli mkuu mada c unazionaga "wanaume fueni boksa zenu mnatia aibu"," hivi wanaume hamuwezi ishi bila michepuko"" natafuta mume" na nyingine nyiiiiingi tuwavumilie mkuu
Kwani uswazi ni Darisalama tu??Sio wote wapo Dar es salaam.
Kwani Dar pekee ndio ina uswazi ndugu?Sio wote wapo Dar es salaam.
Tena mwambie wa Tandale Kwa MtogoleNi kweli haujakosea mm ni wa uswazi