Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

Katika vigezo na masharti ya kujiunga jf, sijaona kipengele.cha makazi. Hili ni jukwaa hulu kila mtu ana haki ya kujiunga na kutoa maoni yake. Na mtu akitoa maoni hasemi anakaa wapi kama salam za redioni, ikizidi sana atasema SWISS YOu
 
Huku wana magari, nyumba, kazi, ndoa, michepuko na phd sio wa sport sport wewe
 
KITABU KIPO
Jirani yangu wa kwa mtongani ibra hivi story iliisha au ndio ulituishia njian
KITABU KIPO MITAMBONI SOON KITADONDOKA..

lakini unaweza kupata riwaya zangu nyingine ukitafuta ukurasa wangu fb
 
KITABU KIPO

KITABU KIPO MITAMBONI SOON KITADONDOKA..

lakini unaweza kupata riwaya zangu nyingine ukitafuta ukurasa wangu fb
uko fb mm sipo kabisa nilishafutaga acc
 
Sawa ..... inasemekana lakini....ila uhakika huna! Nenda ukipata uhakika uje na jibu lenye mashiko
 
Huku wana magari, nyumba, kazi, ndoa, michepuko na phd sio wa sport sport wewe
NA kila mtu kafika chuo kikuu huku hakuna la saba huku jf [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wanaume wanao lialia huwa wanatokea pande gani vile?
 
Kuna dhambi gani kuishi uswazi? Actually kumenisaidia, nikiwa chuo kila starehe watoto wa geti waliyokua wanairukia mimi nilishaijua uwepo wake hakuna kilichokua kipya kwangu, hata fiesta...
 
Eeeh
Ngoja nikae hapa njia panda nisikilizie watoto wa uswazi hao ndio ungonjwa wangu mimi
 
NA kila mtu kafika chuo kikuu huku hakuna la saba huku jf [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Ni kweli mkuu mada c unazionaga "wanaume fueni boksa zenu mnatia aibu"," hivi wanaume hamuwezi ishi bila michepuko"" natafuta mume" na nyingine nyiiiiingi tuwavumilie mkuu

Hahahahah!!
Yani wao matatizo kila siku
 
Back
Top Bottom