Inasemekana eeetiii Madem wa JF wengi ni uswazi.com

Wengi hao wanaaojita wakishua ukiwauliza jamiiforums hawaijui... story zao ni twitter, facebook, snapchat, whatsapp, instagram...
 
wengi wao in above 35,washatumika sana.

kwa wale mnaopenda kutoka na mademu wa kizazi cha instagram aka "vichenchede",msitegemee kupata wa dizaini hiyo JF.
 
Wawe wauswazi au uzunguni it doesnt matter.Lakini najua mademu watamu ni wa uswazi....wanajua kuoga na kunawa vizuri.Big up JF kwa kuwa na mademu wa kiswazi😉
 
Ni kweli mkuu mada c unazionaga "wanaume fueni boksa zenu mnatia aibu"," hivi wanaume hamuwezi ishi bila michepuko"" natafuta mume" na nyingine nyiiiiingi tuwavumilie mkuu
 
Mwajuma Ndala Ndefu sidhani kama anaijua JF,Wa Uswazi wengi wapo Insta kwa ajili ya umbea kujua wema na Dimondi wanafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…