hajasoma eti kuna mtu aliye soma anaweza akafanya ujinga kama wake
hahaha inamana waliosoma ni vilazaWaliosoma watapata wapi pesa kama hizo?
English kwao si mother tongue.. ulitaka aongee lugha gani...arrgghhhhas long anazungumz english, inatosha sana
[emoji23][emoji23][emoji23] umeua!!as long anazungumz english, inatosha sana
Mbna Tz lugha mama ni kiswahili, kwa nini wapo ambao hawakijui kiswahili kukitamka hata kuskia haelewi?English kwao si mother tongue.. ulitaka aongee lugha gani...arrgghhhh
ujinga upi? wa kuwa na mafanikio katika mambo yake? https://jamii.app/JFUserGuide reading and writtinghajasoma eti kuna mtu aliye soma anaweza akafanya ujinga kama wake
kwa msaada wa mbao za majiweHuko Facebook anaandika kwa msaada wa Nani?
Kipindi fulani nipo shuleni (Msingi) ukatokea ugomvi wa wanafunzi walikuwa wanarushiana mawe bahati mbaya mmoja akapata joto la jiwe ikabidi akaseme kwa mwalimu.kwa msaada wa mbao za majiwe