Inasemekana Floyd Mayweather hajui kusoma na kuandika

Inasemekana Floyd Mayweather hajui kusoma na kuandika

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
1536253119687.png


1536253241099.png
 
Kwan Diamond alikua anajua hata kingereza cha kuimbia??.

Ni Pesa pekeee inaweza kukufanya uimbe hata kwa kichina..ujue kusoma na kuandika Kilatini.
 
hajasoma eti kuna mtu aliye soma anaweza akafanya ujinga kama wake
ujinga upi? wa kuwa na mafanikio katika mambo yake? https://jamii.app/JFUserGuide reading and writting
 
kama ana pesa basi kujua au kutokujua haina mashiko.
 
kwa msaada wa mbao za majiwe
Kipindi fulani nipo shuleni (Msingi) ukatokea ugomvi wa wanafunzi walikuwa wanarushiana mawe bahati mbaya mmoja akapata joto la jiwe ikabidi akaseme kwa mwalimu.

Mwalimu nimepigwa na Majiwe.
 
siri yake ilifichuka mwaka juzi kama siyo 2015 aliposhindwa kusoma kitabu kwenye uzinduzi..

ila as long as he is loaded and he can count his cash na kuajiri wasomi kusimamia michongo yake anakuwa bora kuliko hao wasomi wanaojua kusoma
 
Wewe unajua kuleta uzi hapa jf una cash yake hata robo? Life is not all about writing and reading! You can possess other language skills like speaking, listening.
 
Kama Nina PESA,, kusoma kuna faida gn?nitaajiri hata WA KUNISOMEA SMS ,,nitamlipa vzr
 
Back
Top Bottom