Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikawaje sasa akakimbia mwenyew katkat ya msim?? au kile kibanda chake cha matikiti kule brazil kilivunjwa akaenda kukinusuru???Kama ukumbuki nenda Chamanzi pale.
Muite chemba.... Muulize hivi ule mpira wa nyonga uliotaka kukufanya uache soka ulipigwa na nani...? na uliingia wapi?
Hawezi kusahau.... atakuwa anakumbuka vyema... [emoji23]
ikawaje sasa akakimbia mwenyew katkat ya msim?? au kile kibanda chake cha matikiti kule brazil kilivunjwa akaenda kukinusuru???
Mbona hauja mtaja Tambwe, Ngoma na akina Kamusoko......?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo Chirwa na Zulu wamefunga ngapi?Mechi iliishaje niliacha Yanga anaongoza magoli 2 kipindi cha kwanza.
Migongo wazi .Timu mbovu. Hivi mechi iliishaje mbona hutupi matokeo ya jana?Huwa una kiherehere sana kudakia zisizokuhusu.Ugonjwa huo wa obsession na Simba unao wewe. Umeona nimeanzisha topic yeyote kuhusu
Ta.ko wazi mnatabu sanaVipi Mkude na Ajib wamesaini?Si ulituambia wananukia kutua kwa migongo wazi?Au harufu imeishia chooni?