Inasemekana hivi...

Inasemekana hivi...

Sasa inakuwaje wakikutana katika ndo pair amabayo ina mchanyato katika hayo mapenzi kwa wazazi? Namaanisha kwa mfano mwanaume alikuwa na mapenzi sana kwa mama (Kwa kadri yako huyu atakuwa na mapenzi sana kwa mkewe) na mwanamke naye alikuwa na mapenzi sana kwa mama yake pia (Kwa kadri yako huyu atakuwa ni opposite na wa kwanza. Hii combination inakaaje nayo? Au katika utafiti wako hujawahi kukutana nayo?
 
Haahahaaaa kuna usalama mia kwa mia! kama jeshi la marekani!!! ila hua wananisaidia tu dada yao akiwa mgonjwa au akisafiri!!

Nilijua tu........
Kaka nitupie mmoja basi, bado natafuta:teeth:
 
Nilijua tu........
Kaka nitupie mmoja basi, bado natafuta:teeth:

Mmmmhh mpwa, hawa niwasaidizi wangu binafsi!! siwatoi ng'o maana nimekabidhishwa na dada yao mwenyewe wala sikuomba mie! ila ombi lako linafikiriwa, tafadhali vuta subira!!!
 
Back
Top Bottom