kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Ohoooo.......Mkuu naomba na mie maujanja ya kukesha JF, aisee nakuona hapa uli reply saa saba kasoro usiku wa leo. hahahahahaha. Safi sana. JF ina wenyewe na wenyewe ndio akina Ushimen
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Ohoooo.......
Humu jf nirahisi sana kujua member ambae yupo single, maana hiyo mida unayo isema ni mida ya uumbaji pale kitandani..[emoji13] [emoji13]
Kuamini uzushi kunaendana sana na kukosa elimu .Mpaka sasa Tanzania inawatambua wafuatao kuwa hawajafa
1. Makaveli
2. Tupac
3. Michael jackson
4. Ngwair
5. Kanumba
6. Ivan
Watanzania ni noma aise.
Hahahahaha,umenichekeshaDunia simama nishuke,mwendokasi umenishinda.
Tangu afariki trh 25 picha za watoto zimekuja kuonekana I think 28 au 29, na taarifa inasema watoto walipata Counseling ya nguvu,jiulize siku zote hizo hawakulia? Au ulitaka uone kwenye picha wakilia? Tumwogope Mungu Kwani huwezi jua machungu waliyokuwa nayo awali,yawezekana walipitia machungu mengi hadi wakaa sawa.Ndio maana wale watoto wakawa wakavu vile ,yaani hata sura za majonzi walikuwa hawana
BalaliMpaka sasa Tanzania inawatambua wafuatao kuwa hawajafa
1. Makaveli
2. Tupac
3. Michael jackson
4. Ngwair
5. Kanumba
6. Ivan
Watanzania ni noma aise.
kapicha kapi sasa!!Mkuu ungetupiamo na kapicha [emoji12] [emoji12]
Kapicha ka Ivan akiwa hajafa[emoji12] [emoji12] [emoji12] , hata km n siri sasa tutaaminije?kapicha kapi sasa!!
Aaaaah kumbe!!! nilifikiri akiwa amejificha huko kwenye Nchi alikokimbilia sijui ni uvunguni mwa kitanda au machakani.Kapicha ka Ivan akiwa hajafa[emoji12] [emoji12] [emoji12] , hata km n siri sasa tutaaminije?