Inasemekana Ivan the Don hajafa

Inasemekana Ivan the Don hajafa

Kama unajua alipo kamkamate hili uboost KIKI yako utoke moja kwa moja... Bila promo za wana JF
 
Nimesikiliza interview ya Zari na Millard Ayo, kwanza Ivan amefia hospitali mwenye uwezo wa kuconfirm death ni daktari tu sasa mno daktari gani atakaerisk profession yake kwa kudforge death certificate? Ni kawaida ikshajulikana hakuna cha kumsaidia mgonjwa inaanza end of life process na hii Zari aliambiwa ale nyumbani mgonjwa aende kwa amani
 
4b63312dc118dd8f46608d1441857eba.jpg
ae3d9e5d18ae4ce48c7464780d631a88.jpg


Hatare tusubir ukweli tuone
 
Wananchi wenzangu mmezidi. Mkafanye kazi sasa muacheni Zari the Don.
 
4b63312dc118dd8f46608d1441857eba.jpg
ae3d9e5d18ae4ce48c7464780d631a88.jpg


Hatare tusubir ukweli tuone


Huyo tangu amemfahamu Zari alipoanza kutoka na Diamond... ndio zake kutaka kumshusha chini, ameshazoeleka kwa wanamsoma tangu ana blog yake iliyokufa. Lolote ataandika na kutunga na kujaribu ila huwa anagonga mwamba.
 
Back
Top Bottom