Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Mbona kavitaja miguu, mgongo na jointsTiba ya viungo vipi vya mwili, maana mie ninavyo vingi, sijui wewe na wengine. Figo, kongosho, maini, macho?
Unajua mpaka basi ππππππSio kutembea juu ya kokoto na mawe..
Ni kutembea kwa kukanyaga ardhi ukiwa peku bila viatu. Ardhi kama ardhi sio kwenye pavements... Ni kuji connect na nature maana kutokea udongo binadamu aliumbwa...
Wazeee wa kukulumbwiruNa mkimalizana na kukanyaga vikokoto
mniambie niwatumie kiroba cha
mbigiri hizi matumizi yake unazimwaga chini kidogo sana,
halafu unazikalia dakika moja tu.
Miguu,mgongo joints Na viungo vyote vya mwiliTiba ya viungo vipi vya mwili, maana mie ninavyo vingi, sijui wewe na wengine. Figo, kongosho, maini, macho?
For more details Google tap ShekOngeza Nyama Ya Uzi Wako Kama Hukuelewa Pitia Tena Uje Kumwaga Nondo Za Tiba.
Ni juu ya kokoto mkuu au Mawe madogo hoi therapy iko China kule wamejenga Barabara kabisa special Kwa hoi therapySio kutembea juu ya kokoto na mawe..
Ni kutembea kwa kukanyaga ardhi ukiwa peku bila viatu. Ardhi kama ardhi sio kwenye pavements... Ni kuji connect na nature maana kutokea udongo binadamu aliumbwa.
Katika kuji connect na nature ndio unagusa mimea kwa mikono... Kama una maua unayashika na kuyanusa asubuhi.. Kama una mifugo unawapatia chakula asubuhi na maji.. Etc..
Yote haya fanya kama ibada na shukrani.. Mema yatakujia.
wabongo utawaweza mkuu kila kitu wanahusisha na 'ulimwengu wa roho'Ni juu ya kokoto mkuu au Mawe madogo hoi therapy iko China kule wamejenga Barabara kabisa special Kwa hoi therapy
We muuaji πππNa mkimalizana na kukanyaga vikokoto
mniambie niwatumie kiroba cha
mbigiri hizi matumizi yake unazimwaga chini kidogo sana,
halafu unazikalia dakika moja tu.