Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Abdalasini, tangawizi, iliki, kitunguuMkuu taja viungo kwa jina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdalasini, tangawizi, iliki, kitunguuMkuu taja viungo kwa jina
Ni juu ya kokoto mkuu au Mawe madogo hoi therapy iko China kule wamejenga Barabara kabisa special Kwa hoi therapy
Hii Ni therapy ya kichinaImani za kishirikkina hizi
Uko Chaka wewe mwenyewe na ujuaji wako ...kifupi Ile muundo ya misuli ya mguu kwa chini (kwenye nyayo) Iko sawa na viungo vya ndani kuanzia kifuani hadi tumboni .hivo Ili uweze kuvumassage hizo muscle lazima ukanyage rough surface Ili upate Raha and you will feel it ..na ziko pavement special kwa ajili hiyo TU ..kokoto utaumia ..kwa dar jamaa Mmoja Yuko kibaha misugusugu anaitwa abuu ghafur anauza hizo pavementSio kutembea juu ya kokoto na mawe..
Ni kutembea kwa kukanyaga ardhi ukiwa peku bila viatu. Ardhi kama ardhi sio kwenye pavements... Ni kuji connect na nature maana kutokea udongo binadamu aliumbwa.
Katika kuji connect na nature ndio unagusa mimea kwa mikono... Kama una maua unayashika na kuyanusa asubuhi.. Kama una mifugo unawapatia chakula asubuhi na maji.. Etc..
Yote haya fanya kama ibada na shukrani.. Mema yatakujia.
Uko Chaka wewe mwenyewe na ujuaji wako ...kifupi Ile muundo ya misuli ya mguu kwa chini (kwenye nyayo) Iko sawa na viungo vya ndani kuanzia kifuani hadi tumboni .hivo Ili uweze kuvumassage hizo muscle lazima ukanyage rough surface Ili upate Raha and you will feel it ..na ziko pavement special kwa ajili hiyo TU ..kokoto utaumia ..kwa dar jamaa Mmoja Yuko kibaha misugusugu anaitwa abuu ghafur anauza hizo pavement