PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Inasemekana kwamba mwanamziki mkongwe Brandy ni VAMPIRE!!....siku zote yuko young vilevile hajawahi kuzeeka wala hana dalili za kuzeeka.View attachment 380455
pharrel Williams namkubali sana huyu jamaaSio kweli.
Inategemea na jinsi unavyouweka mwili wako, vyakula unavyokula. Kwa Gabu Union au Pharrel Williams utasemaje?
Nae ni vampire , ila kama kuna ukweli vile, huyu dully Skye's wakati nyimbo yake ya kwanza miaka hiyo nilikuwa bado mdogo sana, leo ukinilinganisha na dully unaweza kusema mim ni baba yake, yaan nimezeeka yeye bado kijanahata dully sykes
Inasemekana kwamba mwanamziki mkongwe Brandy ni VAMPIRE!!....siku zote yuko young vilevile hajawahi kuzeeka wala hana dalili za kuzeeka.View attachment 380455
Vampire? ? ? Hapana naona hili neno limetumika vibayaInasemekana kwamba mwanamziki mkongwe Brandy ni VAMPIRE!!....siku zote yuko young vilevile hajawahi kuzeeka wala hana dalili za kuzeeka.View attachment 380455
Steel [emoji777] , Still [emoji818]Wema Sepenga Steel young