Inasemekana kwamba mwanamziki Brandy ni VAMPIRE!!

Inasemekana kwamba mwanamziki Brandy ni VAMPIRE!!

Hata mimi ni vampire hapa nina miaka 96.
206790.jpg
 
Vampire? ? ? Hapana naona hili neno limetumika vibayaView attachment 380583View attachment 380584vampire are blood suckers
Vampire was a myth na ilijengeka ikawa hadithi ya vizazi na vizazi kutokana na ukatili wa Prince Vlad Dracula wa Romania karne kadhaa zilizopita the real Vampires ni aina flani ya popo wadogo ambao ndio hasa blood suckers na kweli wanaishi kwa kunyonya damu za Wanyama ndio maana utakuta iwe ni hadithi au movies ziwe za Dracula au Vampires zina husisha Popo.
 
Vampire was a myth na ilijengeka ikawa hadithi ya vizazi na vizazi kutokana na ukatili wa Prince Vlad Dracula wa Romania karne kadhaa zilizopita the real Vampires ni aina flani ya popo wadogo ambao ndio hasa blood suckers na kweli wanaishi kwa nyonya damu za Wanyama ndio maana utakuta iwe ni hadithi au movies ziwe za Dracula au Vampires zina husisha Popo.
Noted with appreciations
 
Hela hiyo mkuu. We shika hela hapo uone, miez kadhaa tu ngozi itakuwa inateleza ka mtoto...
 
Vampire was a myth na ilijengeka ikawa hadithi ya vizazi na vizazi kutokana na ukatili wa Prince Vlad Dracula wa Romania karne kadhaa zilizopita the real Vampires ni aina flani ya popo wadogo ambao ndio hasa blood suckers na kweli wanaishi kwa nyonya damu za Wanyama ndio maana utakuta iwe ni hadithi au movies ziwe za Dracula au Vampires zina husisha Popo.

Umeeleza vizuri sana mkuu, ndo maana huwa napenda filamu za wazungu wanajaribu kuonesha uhalisia ingawa uongo
 
Sasa azeeki vipi wakati sura imemkomaaa kabisa ahahh hapo wamedanganya kwa huyo bibie labda huyo dully
 
Back
Top Bottom