[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hata mimi ni vampire hapa nina miaka 96.
Hapa kweli. Jana nimemwona fnl nikajiuliza kulikoni analingana na harmonize?hata dully sykes
Wenyewe wanaita Face lifting.Habari za vampire ni fiction mkuu, laba huwa anafanya plastic surgery
Vampire was a myth na ilijengeka ikawa hadithi ya vizazi na vizazi kutokana na ukatili wa Prince Vlad Dracula wa Romania karne kadhaa zilizopita the real Vampires ni aina flani ya popo wadogo ambao ndio hasa blood suckers na kweli wanaishi kwa kunyonya damu za Wanyama ndio maana utakuta iwe ni hadithi au movies ziwe za Dracula au Vampires zina husisha Popo.Vampire? ? ? Hapana naona hili neno limetumika vibayaView attachment 380583View attachment 380584vampire are blood suckers
Noted with appreciationsVampire was a myth na ilijengeka ikawa hadithi ya vizazi na vizazi kutokana na ukatili wa Prince Vlad Dracula wa Romania karne kadhaa zilizopita the real Vampires ni aina flani ya popo wadogo ambao ndio hasa blood suckers na kweli wanaishi kwa nyonya damu za Wanyama ndio maana utakuta iwe ni hadithi au movies ziwe za Dracula au Vampires zina husisha Popo.
Muungwana hicho kigwasu cha pili chenye macho ya njano umenikumbusha picha moja inaitwa 'Salems lot' kilitumika sana humo.Vampire? ? ? Hapana naona hili neno limetumika vibayaView attachment 380583View attachment 380584vampire are blood suckers
My pleasure.Noted with appreciations
Kigwasu-vampire?Muungwana hicho kigwasu cha pili chenye macho ya njano umenikumbusha picha moja inaitwa 'Salems lot' kilitumika sana humo.
Naona nime kuacha kidogo Muungwana Vibwengo,Vigwasu ni kampuni moja ya viumbe wa Kishetani au una tafsiri tofauti na mimi nifaidike?.Kigwasu-vampire?
Vampire was a myth na ilijengeka ikawa hadithi ya vizazi na vizazi kutokana na ukatili wa Prince Vlad Dracula wa Romania karne kadhaa zilizopita the real Vampires ni aina flani ya popo wadogo ambao ndio hasa blood suckers na kweli wanaishi kwa nyonya damu za Wanyama ndio maana utakuta iwe ni hadithi au movies ziwe za Dracula au Vampires zina husisha Popo.
Tuko pamoja sanaNaona nime kuacha kidogo Muungwana Vibwengo,Vigwasu ni kampuni moja ya viumbe wa Kishetani au una tafsiri tofauti na mimi nifaidike?.
Noted mkuu.....Wacha nifanye yangu
Hahhahhhaaha mkuu nyagimwitu ndo nn ?[emoji28] [emoji28]Mnataka azeeke vipi? Sura imekomaa hiyo kama tester wa kiwanda cha nyagimwitu bado mnasema hazeeki huko kumeremeta sababu yupo duniani huko sisi wa ulimwenguni tunamtizama kwa woga
ti umezngua sio kweliHata T.I pia Hazeeki yule jamaa