Hauamini???? Tafuta picha zake uangalie, Sasa mfano mzuri hata juzi alivyokuja bongo, tuliopata nafasi ya kumuona tunalijua hiloti umezngua sio kweli
mkuu na wasiwasi na ubongo wako mtu mwenye 36 yrs ungetaka aweje? na anaishi marekani na ana kipato chake kizuri tuu? tena angekua smart zaid ya hapo sema tuu yale madawa ya kulevya yamemuharibu.Hauamini???? Tafuta picha zake uangalie, Sasa mfano mzuri hata juzi alivyokuja bongo, tuliopata nafasi ya kumuona tunalijua hilo
Movie zinawaharibuInasemekana kwamba mwanamziki mkongwe Brandy ni VAMPIRE!!....siku zote yuko young vilevile hajawahi kuzeeka wala hana dalili za kuzeeka.View attachment 380455
sasa TI ana miaka 35 azeeke vipi ?? we jamaa weweHata T.I pia Hazeeki yule jamaa
Fananisha na wasanii wa bongo wenye umri huo... Ivi twenty percent ana miaka mingapi??? Ukimuweka nasasa TI ana miaka 35 azeeke vipi ?? we jamaa wewe
Mimi ninafananisha na wasanii wa Bongo wenye umri sawa na huo... Labda tumetofautiana hapo mkuumkuu na wasiwasi na ubongo wako mtu mwenye 36 yrs ungetaka aweje? na anaishi marekani na ana kipato chake kizuri tuu? tena angekua smart zaid ya hapo sema tuu yale madawa ya kulevya yamemuharibu.
nakwambia hivii acha mawazo yako ya ajabu. mbona mtu kama jay z haonyeshi kama kaenda age? mcheki diddy utazani ana 30!! mchek ll cool j
Mwambie akasome tenaSteel [emoji777] , Still [emoji818]
Hiv ni ukweli kua vampire waliwah kuwepo dunian au ni miongon mwa stor za kubuniwaVampire? ? ? Hapana naona hili neno limetumika vibayaView attachment 380583View attachment 380584vampire are blood suckers
U made my day [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nae ni vampire , ila kama kuna ukweli vile, huyu dully Skye's wakati nyimbo yake ya kwanza miaka hiyo nilikuwa bado mdogo sana, leo ukinilinganisha na dully unaweza kusema mim ni baba yake, yaan nimezeeka yeye bado kijana
huwezi linganisha africa na ulaya au marekani ni impossible. mfano j mo na usher raymond wamezaliwa mwaka mmoja, unaweza kuniambia nani anaonekana mdogo hapo? umemcheki pharel williams? acha kabisa kulinganisha hayo mambo.Mimi ninafananisha na wasanii wa Bongo wenye umri sawa na huo... Labda tumetofautiana hapo mkuu
Ukishaweka healthy diet na exercises huwezi kuijuisha na plastic surgery.Healthy Diet + Exercises + Make Up/Plastic Surgery
Hii wanafanya wenye mashavu yaliyoshuka.Wenyewe wanaita Face lifting.
Mmmmmmmh, guess our definition of young differs. Ingekuwa si ule ukibonge hana tofauti sana na Bi. Chau. Wanaonekana rika moja.Wema Sepenga Steel young
Ni kama majini na chunusi huku kwetuHiv ni ukweli kua vampire waliwah kuwepo dunian au ni miongon mwa stor za kubuniwa
Hapa umenena.Aboubakar Sadick nae hazeekagi
wanapatikana mahal gan dunianNi kama majini na chunusi huku kwetu