Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatembeza rungu kama comrade kipepe ,ila kazuchu kazuri 😀 😀.
Shemeji vp tayari na wewe unayo ili tujenge story mjini?Kila mwanamke mwenye mimba mjini anaambiwa diamond
Miezi hii wanawake wengi vitumbo ndiiiiShemeji vp tayari na wewe unayo ili tujenge story mjini?
Hakuna namna acha waendelee kupewa mimba tu.
Idadi ya single mother iendelee kuongezeka
Duuh hataree na nusu[emoji849]
Hiki kitoto mbona cha kawaida tu??..Yaani hadi uwe Mondi ndo ule,umekuwa kiumbe dhalili sana kwa comment yako.Afu nilishawahi kujiwazia kuwa ningekua mondi hiki kitoto nisingekiacha. Huenda mondi aliniskia
Mimi nakuelewa sana unachokisema mkuu. Kwa maana nyingine ni kwamba hiki kidemu kama mfano hukijui na ukakutana nacho mtaani unakipita wala hata hugeuki maana hakina maajabu yoyote. In reality mademu wengi wenye majina bongo hii ni wa kawaida mnoo sema wanabebwa na umaarufu na make up/filters tu.She is not exceptional..mademu kama hawa wapo kibao tu mitaani..yaani sijaona point ya jamaa kuuvaa U-diamond ili aweze kupiga hapo.
Shemeji naulizia ya kwako ili nijisingizie basi[emoji3]Miezi hii wanawake wengi vitumbo ndiiii
Hata mimi[emoji18]Shemeji naulizia ya kwako ili nijisingizie basi[emoji3]
Karen hajakataa shule amemaliza degree vizuri tu IFM pale...usimfananishe na kina paula...kama wameamua kukataa shule kama yule wa kajala unategemea nini? lazima wakalie dyudyu tu hakuna namna babaake mwenyewe naye walewale tu analewa na kula vitoto vya wenzie na yeye acha wamtafunie , mla huliwa