Inasemekana mama Diamond Platnumz (Bi Sandrah) ni mjamzito

Habari zimfikie Baba diamond OG popote alipo

Ndugu na jamaa wote wa kiboroloni

Baby shower itafanyika pale pale madale

Bwana amependa na Bwana amependa zaidi.

Ameni.
 
Hakuna la ajabu hapo, utakuta wanaopinga ni wagumba
 
ki maadili kweli hapana, yaani Diamond kaenda tafuta mwanaume wa kumuhmea mama yake mzazi, janaume linalipiwa kila kitu, limepwa land cruiser v8 , linalishwa mihogo na nazi mbichi ,jioni unawakuta mac juice sinza mori wanapata supu ya pweza kwa gharama ya DAi ili BI SANDRA AKAMULIWE IZURI, duh
 
Huyu maza si ana 50..au meno pause inachelewa siku hizi?
Kama unakula vizuri na mazoezi ya apa na pale na hauna mawazo inachelewa kuingia menopause

Ugali Maharagwe unaua akili za watanzania
 
Kwa teknolojia za sasa hata ukifika miaka 65 unazaa. Wengi huendi india hata kama umefikia menopause kuna utaalamu wao wanafanya unabeba mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…