Inasemekana mama Diamond Platnumz (Bi Sandrah) ni mjamzito

Dada wa taifa si alituambia bibi ameshakata blidi! Au ndio story kama za Babu Seya za jogoo kutopanda mtungi?
 
Huyu maza si ana 50..au meno pause inachelewa siku hizi?
Mkuu yapo madawa ya ku boost hormones mazee. Ref: Sababu ya talaka ya R.i.p Winnie Mandela. Sitapenda kuelezea, lakini mhusika alikuwa akitenda hayo kwa raha kabisa, akiwa over 60 yrs.
 
haa, hongera bi Sandra,sio kila mwanamke ana uzazi khaaa
 
noma na nusu bablai,ngoja nimvizie Queen Darlin na mimi nipate katoto kwenye familia iyo😎😎😎
 
Moja ya sifa ya mwanamke ni kuzaa
Tena sio kuzaa bila mume, Sasa yeye mume anae wa halali kabisaaa kwanini asizae?
Mtusamehe wanaume hii kada yetu ya wanaume imeingiliwa na wanaume wambea zaidi ya wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…