Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Walipoanza na Mch Mwakipesile (Kikosi chsa Injili) kupigwa, kuhasiwa, kuuliwa kwa mtoto wake hakuna aliejali na kila mtu alimuona kama mchungaji mwakipesile ni kama amechanganyikiwa, Hakuna mchungaji amepitia dhahama na mateso makuu kama Kikosi cha Injili
Alishambuliwa Father Kitima tukaona kawaida kabisa,hakuna aliepiga kelele vya kutosha sasa wakaendelea na Gwajima
Gwajima akafungiwa makanisa yake, akasimama peke yake kila mtu akamzomea, kila mtu akamcheka na kusema tuone sasa kama atatoboa, yoote haya yanatendeka hakuna aliesimama nae zaidi ya waumini wake
sasa imefika zamu ya Mch Abiudi Misholi wa Mbeya, nae wasiojulikana wamemfikia, kutokana na maelezo ya "kikosi cha injili" youtube amesemaa kwamba mzee amekimbia nchi kisa wasiojulikana.
YOOOTE HAYA NI KULINDA HESHIMA YA MTU MMOJA TU ambae hatujui miaka 3 mbele itakuaje
Asante
- Amehasiwa
- Atoto wake ameuliwa(akasema kabisa nimaagaizo kutoka kwa mkuu wa wavaa kaunda)
- Amefutiwa vibali vya kanisa lake
- Anatafutwa mchana na Usiku