Yanga Wana wivu sana na Simba,Roho inawauma sana kuiona Simba inapiga hatua au kufanya maendeleo yeyote na pia hawana uvumilivu kabisaaa. Sijui kwanini?
Maana Hali ilivyo kwa sasa hata ule utani wa jadi unapotea na kuwa ni kisasi na hasira dhidi ya Simba.