Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
Kama zana za urussi zimeanza kwenda huko basi USA NA ISRAEL lazima wateme bungo....kosa kubwa la nato ni kumchokoza urussi hivyo kufanikisha nchi kama iran kukumbatiwa zaidi na urussi dhidi ya nato...njia sahihi ya kuwapiga waarabu ilitakiwa NATO NA CHINA NA URUSSI WAWE PAMOJA HAPO MUARABU ANGEKOMA KWA SASA WAARABU WANAYO BACKUP YA MAANA NAYO NI CHINA URUSI NA KOREA YA KIDUKU
Huko ukraine mamia ya wanajeshi wa kikorea wanakufa wakirusi wako wapi 🤣
West afrika? 🤣
 
Nijibu hivi urusi akitoa amri kuwa wananchi wote wa mji mkuu wa ukrsin waamia mkoa salama maana anaulipua huo mji kwa mabomu wote hadi makazi ya raia wewe unafikili nini ? Mfumo mzima wa maisha na kivita wa ukrain utasambalatika mara moja
 
Mamaeeee
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.

Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.

Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
[emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839][emoji839]
 
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.

Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.

Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Endelea kutafutiza tafutiza vitu vya kukufariji, au tukununulie wanasesere uwe unawasukasuka nywele?
 
Kama zana za urussi zimeanza kwenda huko basi USA NA ISRAEL lazima wateme bungo....kosa kubwa la nato ni kumchokoza urussi hivyo kufanikisha nchi kama iran kukumbatiwa zaidi na urussi dhidi ya nato...njia sahihi ya kuwapiga waarabu ilitakiwa NATO NA CHINA NA URUSSI WAWE PAMOJA HAPO MUARABU ANGEKOMA KWA SASA WAARABU WANAYO BACKUP YA MAANA NAYO NI CHINA URUSI NA KOREA YA KIDUKU
Hapo wanasaidiwa intelligence wao kazi yao ni kuwatupia vidude tu🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom