Inasemekana: Mnyakyusa ananyemelewa kusitisha mkataba lebo ya Mmanyema na kusainiwa kwenye lebo ya Mmakonde.

Sasa mpaka habari hii ni ya kuweka kwenye code kweli?yani kufanya watu waanze kufikiria myakyusa mmakonde na mmanyema? Kisa habari ya burudani?
aaaaaaaah jomba si unajua kila mtanzania yuko kitengo cha ushushushu ? hahahaha
 
Sasa Hivi ni Mwendo wa KONDE GANG hatuhitaji MAKURUNZINZA WCB.
 
Bado hajakua kisanii wamwache avutevute muda kwanza
 
Mond unawanyonya wasanii wako.
Gaidi SALAMU na DOMONDI walikuwa wanamminya KONDE GANG asitoboe zaidi maana likuwa Mwiba Sana,Sasa Konde Gang Kaona isiwe TABU kachomoa Battery wanaanza ohoo mara mkataba wake wa miaka 15 na bla bla bla kibao!!! KG - KONDE GAND HOTTEST NIKKA IN THE GAME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…