Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pambano lisipigwe tena England aje bongo au likapiganiwe "neutral ground"Imeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
Ni kweli kaomba lakini uwezekano wa kurudiwa hiyo mechi ni mdogoImeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
Anapigwa tena. maana jamaa ameshamsoma vizuri sana..Imeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
Yaani aliyepigwa ni mwakinyo.... Aliyetoa sababu za kupoteza begi ni mwakinyo, aliyesema viatu vilibana ni mwakinyo, aliyesema refa hakuwa fair ni mwakinyo na source ya taarifa yako ni Mwakinyo. Kubwa kuliko ni kuwa aliyepiga magoti na kunyoosha mikono ni mwakinyo.Imeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
Kwani mwakinyo hajamsoma uyo jamaa?Anapigwa tena. maana jamaa ameshamsoma vizuri sana..
Tanzania si nchi nnayoiamini kila kitu tuko nyuma, tupo chini sana kwenye level za kimataifa..Kwani mwakinyo hajamsoma uyo jamaa?