inasemekana Mwakinyo ameomba pambano la marudiano

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Imeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
 
Ni kweli kaomba lakini uwezekano wa kurudiwa hiyo mechi ni mdogo
 
Imeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
Anapigwa tena. maana jamaa ameshamsoma vizuri sana..
 
Imeelezwa kwamba bondia Mwakinyo baada ya kupoteza Jijini Liverpool , ameomba Re match na amekubaliwa na Promoter na inadaiwa kwamba game ya marudio itapigwa January 23 / 2023.
Yaani aliyepigwa ni mwakinyo.... Aliyetoa sababu za kupoteza begi ni mwakinyo, aliyesema viatu vilibana ni mwakinyo, aliyesema refa hakuwa fair ni mwakinyo na source ya taarifa yako ni Mwakinyo. Kubwa kuliko ni kuwa aliyepiga magoti na kunyoosha mikono ni mwakinyo.
 
Back
Top Bottom