Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Atapokelewa kwa shangwe na bashasha.
Tena itaitwa press conference ya kummwagia misifa
 
Mlevi akiokoka atapokelewa kanisani au waumini watasema mbona huwa tunasema walevi ni wa motoni??
 
HAITUHUSU. IKIWEZEKANA LIJE GHARIKA KAMA LA NUHU LIWASOMBE TUBAKI TUSIO NA VYAMA TU.
 
Kwenu viongozi na makamanda wa CHADEMA nchi nzima.

Iwapo itathibitika kuwa ni kweli Nape kavuliwa uanachama wa CCM na sisi wapinzanzi tukaamua kumpokea,basi tujiandae kukabiliana na hii propaganda.

Mara tu atakapotua ndani ya chama(in case hatokwenda mahakamani) hoja yoyote ile tutakayoibua kulalamikia au kuhoji juu ya Bunge live,hoja hiyo itajibiwa kwa maneno kama vile:
"Nape ndio chanzo na Nape mnae katika chama chenu".

Pia wako watakaosema, "Muulizeni Nape na maneno mengine ya aina hiyo"

Tujiepushe kabisa kumpokea Nape.

Bashe ndio mtu tunaeweza kumpokea wakati wowote kwani hawatakuwa na la kusema na si Msukuma,Nape,na wengineo wanaotajwatajwa.
 
ccm ndo laana ya taifa hili kutosonga mbele
 
Chama kimekuwa cha watu wawili tu ndio wanaamua nini cha kufanya,wengine wote wamebaki kama wapiga debe tu basis linakoelekea ndiko anakopigia debe
 
Nadhani ndo wewe mwenyewe umeandika hapa ili kutengeneza taharuki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…