Mpini Wa Chuma JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 1,728 Reaction score 1,327 Feb 1, 2019 #21 Tuacheni tukawachape hao everton... Na hakuna namna kariobangi acheze akati sisi ndio sportpesa
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Feb 1, 2019 #22 Joseverest said: Haina haja ya kutumia nguvu nyingi Click to expand... Simba ni mojawapo ya Timu 16 BORA katika Bara la Afrika !Unasemaje!
Joseverest said: Haina haja ya kutumia nguvu nyingi Click to expand... Simba ni mojawapo ya Timu 16 BORA katika Bara la Afrika !Unasemaje!
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Feb 2, 2019 #23 Labda Everton ya Mchambawima Sent using Jamii Forums mobile app
jogoo_dume JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 2,204 Reaction score 1,939 Feb 2, 2019 #24 Kwa nini walizialika hizo timu? Kama vipi wawe wanafanya rotayion nani acheze na everton. Mwaka huu tanzania mwaka kesho kenya. Hamna haja ya mashindano kama ndio huu ujinga.
Kwa nini walizialika hizo timu? Kama vipi wawe wanafanya rotayion nani acheze na everton. Mwaka huu tanzania mwaka kesho kenya. Hamna haja ya mashindano kama ndio huu ujinga.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Feb 2, 2019 #25 KYALOSANGI said: Simba ni mojawapo ya Timu 16 BORA katika Bara la Afrika !Unasemaje! Click to expand... lete uthibitisho na chanzo rasmi
KYALOSANGI said: Simba ni mojawapo ya Timu 16 BORA katika Bara la Afrika !Unasemaje! Click to expand... lete uthibitisho na chanzo rasmi
shahid365 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 518 Reaction score 420 Feb 2, 2019 #26 SADOCK NJIGINYA said: Mimi sio yanga lakini simba mmezoea kitonga sana maneno mengi matokeo zero Click to expand... tunajua wewe sio yanga ila ni mshabiki wa vyura sc
SADOCK NJIGINYA said: Mimi sio yanga lakini simba mmezoea kitonga sana maneno mengi matokeo zero Click to expand... tunajua wewe sio yanga ila ni mshabiki wa vyura sc