Inasemekana: Simba Sc ndiyo watacheza na Everton,sio Kariobang Sharks

Inasemekana: Simba Sc ndiyo watacheza na Everton,sio Kariobang Sharks

Tuacheni tukawachape hao everton... Na hakuna namna kariobangi acheze akati sisi ndio sportpesa
 
Kwa nini walizialika hizo timu? Kama vipi wawe wanafanya rotayion nani acheze na everton. Mwaka huu tanzania mwaka kesho kenya.
Hamna haja ya mashindano kama ndio huu ujinga.
 
Back
Top Bottom