Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Kenya!HII SIO KWELI
... MATARAJIO 165km/hr, ... MAJARIBIO 40km/hrHII SIO KWELI
Una maana konokono wetu hatambai🤓.Kwani amefariki dunia au anaumwa😎
Hata vichwa vya treni wakati wa test ya kwanza vilianza Kwa speed ndogo harafu baadae ikafikia speed inyotakiwaTrial test, and fault recovery mara zote train hizi huendeshwa kwa speed ya kawaida not high /low, ili kuona na kupima ubora wa vitu mbalimbali mtambuka, wakati utafika itaendeshwa kwa speed ya 160-180/hrs,kwani hizi train zina top speed ya 240/hr.
Yesu...🙆♀️... MATARAJIO 165km/hr, ... MAJARIBIO 40km/hr
NI KWELI ASEE!
Hivi hangaya yuko wapi, sijamikia siku hizi mbili/ tatuHakuna kitu kibaya kama kuwa na watu wasio na uchungu na taifa
Ndio maana safari zake zitaanza July, majaribio ni mengi mno, kwanza ubora wa engine/motor, rail yenyewe, hasa ubora, na uwezo wake itakapo beba loads, idadi ya mabehewa kwa mkupuo mmoja ambao hauta haribu njia/rail, and lots more!Hata vichwa vya treni wakati wa test ya kwanza vilianza Kwa speed ndogo harafu baadae ikafikia speed inyotakiwa
wanatuonaga sisi wajinga sana hawa jamaa, yale mabehewa ya ajabuajabu kabisa, 3rd class world. hata kuzindua hawakutakiwa kuzindua. tunataka value for money. na ninajua tukipiga sana kelele watataka kutuprove wrong, watalikimbiza hilo wauwe raia kwa ajali, wakubali tu, kama kuna mabehewa hawajaleta toka korea, waongee nao tu kwamba walete yale ya kisasa, haya tumeyastukia, na tutawawajibisha haliishii hapa.
basi kama haya ni majaribio, tumeshawabip, tunataka kije kichwa cha kisasa na mabehewa ya kisasa kama yale ya South Africa (ambayo wanaunda wenyewe hapahapa south), ya Nigeria, ya Ethiopia, Senegal, morocco na misri. hao hawana mabehewa ya TAZARA kama yale waliyoonyesha jana.Ndio maana safari zake zitaanza July, majaribio ni mengi mno, kwanza ubora wa engine/motor, rail yenyewe, hasa ubora, na uwezo wake itakapo beba loads, idadi ya mabehewa kwa mkupuo mmoja ambao hauta haribu njia/rail, and lots more!
sasa hili limemharibia, nashauri chadema chukueni hii kama hoja kupeleka kwa wananchi, hizi sio treni tulikuwa tunataka. sina shida na speed wala chochote, ni muonekano, tumepigwa. ni sawa na kuchukua v8 ya kwanza ile umenunua kwa bei ya current, inakimbia kweli lakini muonekano sio wa kwenda nayo kwa wakwe kabisa. rudisheni chenji yetu.Kuanzia sasa mpaka aje atangazwe rais vitatekelezwa vingi sana ili kuwapumbaza wadau ili kupata kura wapate kula.