King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Shamba la bibi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinakuja very soon, stay tune! "mchongoko"basi kama haya ni majaribio, tumeshawabip, tunataka kije kichwa cha kisasa na mabehewa ya kisasa kama yale ya South Africa (ambayo wanaunda wenyewe hapahapa south), ya Nigeria, ya Ethiopia, Senegal, morocco na misri. hao hawana mabehewa ya TAZARA kama yale waliyoonyesha jana.
Chadema wachukue hiyo maana ipo kimkakatisasa hili limemharibia, nashauri chadema chukueni hii kama hoja kupeleka kwa wananchi, hizi sio treni tulikuwa tunataka. sina shida na speed wala chochote, ni muonekano, tumepigwa. ni sawa na kuchukua v8 ya kwanza ile umenunua kwa bei ya current, inakimbia kweli lakini muonekano sio wa kwenda nayo kwa wakwe kabisa. rudisheni chenji yetu.
Wakati gani sasa? Yaani unajenga daraja la kupitisha mzigo tani 10. Unakuja kupima kwa kupitisha mzigo tani 6 halafu ndo baadaye uanze pitisha mzigo tani 10 rasmi? Hii akili ya wapi? Mbona na mimi ni CCM kama wewe?Trial test, and fault recovery mara zote train hizi huendeshwa kwa speed ya kawaida not high /low, ili kuona na kupima ubora wa vitu mbalimbali mtambuka, wakati utafika itaendeshwa kwa speed ya 160-180/hrs,kwani hizi train zina top speed ya 240/hr.
😅😅😅😅😅
Hili sio daraja, trial yake inapaswa kuwa ya uhakika wa kiusalama, kumbuka haina mfumo wa break wa haraka haraka, kama basi, hasa inapokuwa ipo switched katika speed mfano 120/hr.Wakati gani sasa? Yaani unajenga daraja la kupitisha mzigo tani 10. Unakuja kupima kwa kupitisha mzigo tani 6 halafu ndo baadaye uanze pitisha mzigo tani 10 rasmi? Hii akili ya wapi? Mbona na mimi ni CCM kama wewe?