Inasemekana tumepigwa tena!

Vinakuja very soon, stay tune! "mchongoko"
 
Chadema wachukue hiyo maana ipo kimkakati
 
Trial test, and fault recovery mara zote train hizi huendeshwa kwa speed ya kawaida not high /low, ili kuona na kupima ubora wa vitu mbalimbali mtambuka, wakati utafika itaendeshwa kwa speed ya 160-180/hrs,kwani hizi train zina top speed ya 240/hr.
Wakati gani sasa? Yaani unajenga daraja la kupitisha mzigo tani 10. Unakuja kupima kwa kupitisha mzigo tani 6 halafu ndo baadaye uanze pitisha mzigo tani 10 rasmi? Hii akili ya wapi? Mbona na mimi ni CCM kama wewe?
 
imagine hata ethiopia hawa wanaokamatwa kukimbia nchi kila siku, treni zao zina muonekano bora kuliko bongolala.

hivi hamuoni kama hili la kwetu la chini, yamechomelewa tu yale mabehewa ya kienyeji, ona holo la kijani la ethiopia. linganisha hat apa kuingilia kwa hilo la kwetu na la ethiopia, la kwetu ni tazara iliyochangamka.

afu ona ya wenzetu ya ujerumani miaka ya nyuma ambayo hawatumii tena sasaivi wametupa.


 
aliyetumwa kwenda kununua haya mabehewa na vichwa tunataka tumjue. tuna jambo naye.
 
Wakati gani sasa? Yaani unajenga daraja la kupitisha mzigo tani 10. Unakuja kupima kwa kupitisha mzigo tani 6 halafu ndo baadaye uanze pitisha mzigo tani 10 rasmi? Hii akili ya wapi? Mbona na mimi ni CCM kama wewe?
Hili sio daraja, trial yake inapaswa kuwa ya uhakika wa kiusalama, kumbuka haina mfumo wa break wa haraka haraka, kama basi, hasa inapokuwa ipo switched katika speed mfano 120/hr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…