Ila huyu mwamba inasemekana ni kupiga kupitiliza😂Wote ni wapigaji
Hakuna aliendoshwa kwa sababu ya upigaji
Wananichanganya sawa Hawa wapigaji mkuu😂😂😂heading inamhusu dada naibu, mada inamhusu yule msomali wa tabora, ulikua unawaza nini mpaka ukachanganya mambo kiasia hicho?
Mkuu ile CV ni noma sana😂😂😂Hahahahah eti elimu mbalimbali.
Kuna polisi nae ana degree ya mafriji.
Bongo mnacheza
Kapiga za kutosha kisha kaachwa bila kuchukuliwa hatua yoyote ileSalut kwenu waungwana!
Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.
#December 9
December 9 tutang'amua yote hayaKapiga za kutosha kisha kaachwa bila kuchukuliwa hatua yoyote ile
kwani hela za Bugati na Loziloisi zimetokea wapi tuanzie hapoSalut kwenu waungwana!
Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.
#December 9
Kuna mambo yanachekesha sana sasa kama aliamliwa atoe kibali cha sukari kwa kampuni ambayo inajihusisha na electronic sababu tu ni ya mtoto wa rais unategemea yeye angeendelea kuwa muadilifu ili iweje na aufanye huo uadilifu sababu ya nani automatic tu kiongozi wako akionyesha uaribifu na wewe pia utaharibu maana na wewe ni sehemu ya huo mfumo..imagine kuna mambo mangapi yanapitishwa huko mawizarani kwa mashinikizo tu.Salut kwenu waungwana!
Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.
#December 9
Kwamba CCM haipendi ufisadi? Ripoti ngapi za CAG zinaonyesha mabilion yameibiwa na hamna aliyetumbuliwa.Salut kwenu waungwana!
Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.
#December 9
Kama kapitiliza kamba je?Kama ni hivyo basi kaonewa maana maelekezo yalitolewa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake…
😂😂😂Kwamba CCM haipendi ufisadi? Ripoti ngapi za CAG zinaonyesha mabilion yameibiwa na hamna aliyetumbuliwa.
Hiyo Royal Tour ilikula billion ngapi? Kuna aliyetumbuliwa?