Inasemekana upigaji kwenye mradi wa BBT ndio umemuondoa Bashe

Jokeri112

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
311
Reaction score
582
Salut kwenu waungwana!

Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.

#December 9
 
Moderator nibadilishieni heading. Isomeke UPIGAJI MRADI WA BBT UMESABABISHA KUENGULIWA HUSSEIN BASHE
 
heading inamhusu dada naibu, mada inamhusu yule msomali wa tabora, ulikua unawaza nini mpaka ukachanganya mambo kiasia hicho?
 
Kapiga sana wale secretariat wote wa huu mradi wana gorofa na apartments, vijana walikua wapewe hqdi mishahara lakini yote ime pigwa panga mifukoni wahuni wana zilamba
 
Kama ni hivyo basi kaonewa maana maelekezo yalitolewa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake…
 
Salut kwenu waungwana!

Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.

#December 9
kwani hela za Bugati na Loziloisi zimetokea wapi tuanzie hapo
 
Salut kwenu waungwana!

Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.

#December 9
Kuna mambo yanachekesha sana sasa kama aliamliwa atoe kibali cha sukari kwa kampuni ambayo inajihusisha na electronic sababu tu ni ya mtoto wa rais unategemea yeye angeendelea kuwa muadilifu ili iweje na aufanye huo uadilifu sababu ya nani automatic tu kiongozi wako akionyesha uaribifu na wewe pia utaharibu maana na wewe ni sehemu ya huo mfumo..imagine kuna mambo mangapi yanapitishwa huko mawizarani kwa mashinikizo tu.

Hatuwezi kamwe kuwa na serikali iliyonyooka ikiwa rais anamamlaka makubwa hivi kikatiba na yanamruhusu kufanya chochote wakati wowote.
 
Yule Choice Variable yuko wapi siku hizi? Nilimuahidi miaka kadhaa nitamfufulia uzi kuhusu hiyo BBT, Ule ulikuwa ubabaishaji, upigaji katika viwango fulani visivyokuwa vya kawaida.

Japo hiyo sio sababu iliyosababishwa atemwe, kama ufisadi ni sababu huko serikalini hatakiwi kubaki hata mmoja.
 
Salut kwenu waungwana!

Inasemekana upigaji pesa kupitia mradi wa Building Better Tomorrow (BBT) ndio umemtoa huyu mwamba kwenye cabinet. Waungwana wanasema haiwezekani kazi ya bush clearing kwa hekari Moja iwe ni 15million.

#December 9
Kwamba CCM haipendi ufisadi? Ripoti ngapi za CAG zinaonyesha mabilion yameibiwa na hamna aliyetumbuliwa.

Hiyo Royal Tour ilikula billion ngapi? Kuna aliyetumbuliwa?
 
Kwamba CCM haipendi ufisadi? Ripoti ngapi za CAG zinaonyesha mabilion yameibiwa na hamna aliyetumbuliwa.

Hiyo Royal Tour ilikula billion ngapi? Kuna aliyetumbuliwa?
😂😂😂
#December 9 tuungane kung'amua haya maujinga ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…