zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Nov 18, 2025 #21 Mr Devil said: Kapiga sana wale secretariat wote wa huu mradi wana gorofa na apartments, vijana walikua wapewe hqdi mishahara lakini yote ime pigwa panga mifukoni wahuni wana zilamba Click to expand... Kwamba waliobaki ni wasafi? Vipi ufisadi wote ule CAG anaongelea wangapi wamechukuliwa hatua?
Mr Devil said: Kapiga sana wale secretariat wote wa huu mradi wana gorofa na apartments, vijana walikua wapewe hqdi mishahara lakini yote ime pigwa panga mifukoni wahuni wana zilamba Click to expand... Kwamba waliobaki ni wasafi? Vipi ufisadi wote ule CAG anaongelea wangapi wamechukuliwa hatua?
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Nov 18, 2025 #22 Team Lowassa nayo bado ipo inapambana kujenga Empire yake Sasa hivi wana makamu