thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,851
Sifungamani na upande wowote kwenye hili la kuzum nyufa za hostel zetu pendwa na kupelekea kuwaona wahandisi wale walikuwa vyeti feki ila nafungamana na upande wa pili kutoka kwenye huu upande wa vijana wetu wa kujichubua na kusingizia kunywa maji mengi,saaaad!!!.
Vijana wengi wa kike kwa wa kiume wamekuwa na silika hii ya kujichubua wakiamini huongeza mvuto na hadhi katika jamii wanazoishi wakisahau athari hasi kwa kufanya hivyo.
Sitaki kuamini eti mpaka mijibaba mingine ilizaliwa black kabisa lakini baadae ilifanikiwa kunywa maji mengi sana ikageuka kuwa white na kuwaumbua watoto wao wanaowazaa maana ni pure black folks(based on gene inheritance).
Ewe mtoto kama mama na baba yako ni weupe afu wewe ni mweusi my furendi your parents were good water drunkards[emoji3] .