Inasemekana Vijana wengi siku hizi hujichubua sana ndo maana na umbea umezidi

Inasemekana Vijana wengi siku hizi hujichubua sana ndo maana na umbea umezidi

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
Sifungamani na upande wowote kwenye hili la kuzum nyufa za hostel zetu pendwa na kupelekea kuwaona wahandisi wale walikuwa vyeti feki ila nafungamana na upande wa pili kutoka kwenye huu upande wa vijana wetu wa kujichubua na kusingizia kunywa maji mengi,saaaad!!!.

Vijana wengi wa kike kwa wa kiume wamekuwa na silika hii ya kujichubua wakiamini huongeza mvuto na hadhi katika jamii wanazoishi wakisahau athari hasi kwa kufanya hivyo.

Sitaki kuamini eti mpaka mijibaba mingine ilizaliwa black kabisa lakini baadae ilifanikiwa kunywa maji mengi sana ikageuka kuwa white na kuwaumbua watoto wao wanaowazaa maana ni pure black folks(based on gene inheritance).

Ewe mtoto kama mama na baba yako ni weupe afu wewe ni mweusi my furendi your parents were good water drunkards[emoji3] .
a236e563914d28017729a8eef8f247f7.jpg

8a31c8c8a88baa7fca8d6bdcc0eb133f.jpg
36ce32ba4c2225e6567b49a9228d9116.jpg

aa8b1ff04fd5bdc6c8baf396e314e2c3.jpg
1d13bc09ad360aa2c15ed7e3c07f8638.jpg

ac97922826e9827f366dc5eaac6fa443.jpg
 
haha I'm super duper white baby boy.
Chupi yako ina DOA sugu.
Nimekupenda ghafla kwa hili jibu....
Hahahahahah ingawaje hili jibu kwa sisi wajuzi wa men's character tayari tushaelewa jambo hapa....
 
Sifungamani na upande wowote kwenye hili la kuzum nyufa za hostel zetu pendwa na kupelekea kuwaona wahandisi wale walikuwa vyeti feki ila nafungamana na upande wa pili kutoka kwenye huu upande wa vijana wetu wa kujichubua na kusingizia kunywa maji mengi,saaaad!!!.

Vijana wengi wa kike kwa wa kiume wamekuwa na silika hii ya kujichubua wakiamini huongeza mvuto na hadhi katika jamii wanazoishi wakisahau athari hasi kwa kufanya hivyo.

Sitaki kuamini eti mpaka mijibaba mingine ilizaliwa black kabisa lakini baadae ilifanikiwa kunywa maji mengi sana ikageuka kuwa white na kuwaumbua watoto wao wanaowazaa maana ni pure black folks(based on gene inheritance).

Ewe mtoto kama mama na baba yako ni weupe afu wewe ni mweusi my furendi your parents were good water drunkards[emoji3] .
a236e563914d28017729a8eef8f247f7.jpg

8a31c8c8a88baa7fca8d6bdcc0eb133f.jpg
36ce32ba4c2225e6567b49a9228d9116.jpg

aa8b1ff04fd5bdc6c8baf396e314e2c3.jpg
1d13bc09ad360aa2c15ed7e3c07f8638.jpg

ac97922826e9827f366dc5eaac6fa443.jpg
db74286c55f28b20879f9a4d74ce01aa.jpg
 
Cc. Nyoshi Elsadat
Christian Bela
James Delicious

Kwa upande wa wanawake ngoja nipaache, ila kwa wanaume hizi ni tabia za kishoga aisee.. Dume zima unatafuta weupe kama dada zako, aiseee
 
Taabu kweli kweli.

Hili jiwe la gizani litawakamata wengi.

Ila jiandae kwa majibu yao tu.
 
Mradi hawatumii Pesa ya mtu kazi kwao.
 
Mafuta kutoka zambia yanapenya sana kinyemelaaaa[emoji13]
 
Back
Top Bottom