Tetesi: Inasemekana viongozi wa upinzani na watu mashuhuri kukamatwa tarehe 26-28

pulex

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
536
Reaction score
2,213
Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!

Watu wenye influence kwenye Jamii

Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa.

My take:
Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi. Tanganyika imetekwa na wahuni.
 
Hiyo redcross 26 orodha yao ipo na mpaka sasa wapo kwenye rada
 
Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!

Watu wenye influence kwenye Jamii

Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa.

My take:
Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi. Tanganyika imetekwa na wahuni.
Historia imeshasndikwa Rahisi ambaye hakuwahi kuchagukiwa ....alichagua yeýe na bwana wake Jk...kutumia pesa kununua vyombo dola na wapinzani woote.....hakuna jipya karne hiii......kila kitu kiko wazi.....Wanu ipo siku atakuwa mjane....visiwaniii
 
Ni kweli hii nimeona emails kadhaa wanaziita posta master kwa code zetu kwamba tarehe 26/27/28 zote ziwe za kuwakamata wapinzani wote na wale watu wakubwa ambao watakuwa na influence
Wanasema mitandao yote izimwe, Barabara kubwa zizuiwe, turn out ya polis mtaani iwe Mara dufu kuliko kawaida

Britanicca
 
Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!

Watu wenye influence kwenye Jamii

Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa.

My take:
Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi. Tanganyika imetekwa na wahuni.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Nyie si mkaandamane tu!!
 
1000248883.jpg
 
Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!

Watu wenye influence kwenye Jamii

Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa.

My take:
Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi. Tanganyika imetekwa na wahuni.
Sasa we unamtisha nani? Eti wakiwakamata wanachochea moto! Moto gani hapo sasa?
Watakamatwa na hamtafanya lolote..
TANZANIA NI KUBWA KULICHO CHADEMA NA ILIKUWEPO KABLA YA CHADEMA!
 
Back
Top Bottom