Historia imeshasndikwa Rahisi ambaye hakuwahi kuchagukiwa ....alichagua yeýe na bwana wake Jk...kutumia pesa kununua vyombo dola na wapinzani woote.....hakuna jipya karne hiii......kila kitu kiko wazi.....Wanu ipo siku atakuwa mjane....visiwaniiiTarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!
Watu wenye influence kwenye Jamii
Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa.
My take:
Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi. Tanganyika imetekwa na wahuni.
Ngoja nikuingize ignore wewe matakoHiyo redcross 26 orodha yao ipo na mpaka sasa wapo kwenye rada
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!
Watu wenye influence kwenye Jamii
Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa.
My take:
Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi. Tanganyika imetekwa na wahuni.
Hizi zote ni shughuli za waTanzania wote wapenda HAKI. Siyo za chama wala mtu yeyote.Kweni haya maandamano yameitishwa na CHADEMA au na Mange Kimambi?
Sasa we unamtisha nani? Eti wakiwakamata wanachochea moto! Moto gani hapo sasa?Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani!