jamii za pwani zote,kusini kote mbeya huko kote hakunaga masuala hayo,ukeketaji unaanzia central tz kuelekea juu basi ndio ulipotokeaKabla ya ukoloni nitajie jamii gan ambayo ilikua haikeketi?
Haya Mbe...luzie 'sau😅Nyi mashindo wa mba're mba're lyekana nao mae.
Tusemezane habari akwa!Unataka nkusalimie?
Nani kakufundsha kichaga wewe chasaka?Tusemezane habari akwa!
Wachaka nyi wandu mmhHaya Mbe...luzie 'sau😅
wacha kututukana wewe na kuturushia laana za kwenu mmetukosa kwenye msosi mnakuja front live sasaWachaka nyi wandu mmh
Mimi naongea vichaga vyote marangu ,kibisho mkuu ,mashati ,tarakea , machame old moshi ,uru , sia masama ,na mwika😁😁😁😁.Nani kakufundsha kichaga wewe chasaka?
Sijatukana mkuu wala sipo hivyo ,umeingia cha kike shtuka😁😁😁.wacha kututukana wewe na kuturushia laana za kwenu mmetukosa kwenye msosi mnakuja front live sasa
Unaweza kutaja Kijiji, Kata, tarafa na wilaya uliyoyaona haya?sijaota bali ni kweli yametokea na yanaendelea kutokea
Ni ujinga kuamini Kila ukisomacho na kukiona mtandaoni.Majirani zetu wa kichaga. Ndio maana roho inakuwa nzito tunapo kuja kwenye misiba yenu na mkatukaribisha chakula kama wema kweli...
Msanuo sasa tumeuona..
Habari yafo,? U mshaka lau?Mimi naongea vichaga vyote marangu ,kibisho mkuu ,mashati ,tarakea , machame old moshi ,uru , sia masama ,na mwika😁😁😁😁.
Wachaga naondoa shikamoo zangu.Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.
Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.
Bapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
bro utanilaumu bure haya mambo yamethibitishwa na wachaga wenyewe pia umeambiwa ni siri je na wewe upo kwenye kamati ya ufundi bosi? haya mambo ni siri watu wakikushtukia wanaweza wakakuuaUnaweza kutaja Kijiji, Kata, tarafa na wilaya uliyoyaona haya?
Umeandika upuuzi mkubwa sana.
Nimewahi kuhusika kupeleka miili ya Wachagga mochwari.
Sikuwahi kufanya, kusikia, au kuona upuuzi wa kula maiti.
Hapo zamani, kutokana na umasikini, marehemu walikuwa wanakamuliwa Ili wasioze na hii ni miaka ya 90 kati kurudi nyuma. Na uchafu ulitupwa na siyo vinginevyo.
Ingekuwa marehemu analiwa basi na Mimi ningelishwa maana nimezaliwa na wazazi Wachagga na nimeishi huko Kwa miaka 20+.
Uchaggani Kuna Mila ya kupika damu ya mbuzi, kondoo na ng' ombe. Hiinaitwa huchanganywa na supu na ni maarufu kama kisusio. Nimewahi kunywa japo nilisha acha.
Punguza kuandika ujinga. Utakugharimu siku moja!
Umeongelea kisusio ,umenifanya usingizi unakata sasa.Unaweza kutaja Kijiji, Kata, tarafa na wilaya uliyoyaona haya?
Umeandika upuuzi mkubwa sana.
Nimewahi kuhusika kupeleka miili ya Wachagga mochwari.
Sikuwahi kufanya, kusikia, au kuona upuuzi wa kula maiti.
Hapo zamani, kutokana na umasikini, marehemu walikuwa wanakamuliwa Ili wasioze na hii ni miaka ya 90 kati kurudi nyuma. Na uchafu ulitupwa na siyo vinginevyo.
Ingekuwa marehemu analiwa basi na Mimi ningelishwa maana nimezaliwa na wazazi Wachagga na nimeishi huko Kwa miaka 20+.
Uchaggani Kuna Mila ya kupika damu ya mbuzi, kondoo na ng' ombe. Huchanganywa na supu na ni maarufu kama kisusio. Nimewahi kunywa japo nilisha acha.
Punguza kuandika ujinga. Utakugharimu siku moja!
duh !!Kifupi ibada za wafu kama Tatu,Arobaini,kurehem waliokufa ni kukiiita kifo Kwa waliohai!!
Sio vizuri ku entatain haya mambo!
Huenda ni mtu mmoja kwa id mpyaDaah nimecheka sana huu uzi jamaa amechukua comment Moja katika Uzi uliopostiwa na mtu mwingne akiongelea baadhi ya makalia kudate na watoto wao wa kuwazaa kulikuwa na comment inayoelezea jambo hili mwamba kaona aonekane anajua Siri nyingi akaufanya kama Uzi kabisa daah.
Ni mshaka kwa mbali lau, japo kirombo nakisikia chote ika mataamshi yananishinda kidogo lau, tofauti na kimachame kibosho na kimarangu ila mpaka mwisho wa mwaka nitakijua chote, wakupe boora la mwisho lau, ila wasichanganye na dadiii.Habari yafo,? U mshaka lau?