Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Siyo kinyesi cha ng'ombe. Ule utombo wa mbuzi kuna kipande huchomwa hivyo hivyo bila kukamua kile chakula chake alichokula muda mfupi kabla ya kuchinjwaUmesahau kuweka kiyesi cha ng'ombe katikati ya mishikaki ili kuongeza utamu😂