nahisi hizi zitakuwa ni plan za kutumaliza zaidiNyi mashindo wa mba're mba're lyekana nao mae.
Haina ubishi kaka, lisemwalo lipo.ruuun!!! run for your life jifanye unatoka unaongea na simu au unazunguka zunguka hatari
Ulifuata nini kwa wabibi wa miaka 50 mpka ukajua wamekeketwa? Kijana mdogo unakosa adabu.sasa hili nalo la kubisha kwamba wachaga hawa waliopo sasa watu wazima wenye miaka kuanzia 50 wote asilimia kubwa wamekeketwa? hujui hilo na si wachaga tu bali makabila yote ya kaskazini ndio kamchezo kao hako
Lisemwalo lipo.JF imejaa vitoto vya juzi, ukiviambia mila halisi za kiafrika vinadata na kudhani unadanganya. Eti "nimekulia uchagani", unadhani mambo ya kimila yanafanywa hadharani?
Nakula vizuri sanamisiba hata 40 za watu wa moshi haifai watu kula ntahudhuria tu ila ikifika wkati wa msosi natoweka ghafla
nawaelimisha watu kama wewe hawa waliona miaka 50 sasa miaka 10 nyuma walikuwa na 40 hivyo walikuwa bado vijana ndio nilipowakagua wakati huo nikaliona hiloUlifuata nini kwa wabibi wa miaka 50 mpka ukajua wamekeketwa? Kijana mdogo unakosa adabu.
Hahaa! Mkuu ikimbie misosi shauri lako πNakula vizuri sana
Hutuogopi nduguπMi vyovyote vile sawa..
Kwani wapi kuna msiba nikale....
miaka yake ishachukuliwa san inaonekana hana cha kupotezaHahaa! Mkuu ikimbie misosi shauri lako π
Kama wewe sio mchaga hauwezi yajua mambo ya wachaga mkuunawaelimisha watu kama wewe hawa waliona miaka 50 sasa miaka 10 nyuma walikuwa na 40 hivyo walikuwa bado vijana ndio nilipowakagua wakati huo nikaliona hilo
Ma urassa mamboHutuogopi nduguπ
Haha ana hasira sanaTangu basha lako la kichaga likupige kibuti, umekuwa mkali kweli kwa hawa wanywa mbege
πππmiaka yake ishachukuliwa san inaonekana hana cha kupoteza
hili la kukeketa inahitaji uwe mchaga nalo ili ulijue? we vipi broKama wewe sio mchaga hauwezi yajua mambo ya wachaga mkuu
Kabla ya ukoloni nitajie jamii gan ambayo ilikua haikeketi?hili la kukeketa inahitaji uwe mchaga nalo ili ulijue? we vipi bro
Safi , hujambo?Ma urassa mambo
Kama sijadhurika siku zote hizo acha niendelee. Kufa kupo tuHahaa! Mkuu ikimbie misosi shauri lako π
Ma urassa kwa nini unapenda kuniona mdogo lakini?Safi , hujambo?
Unataka nkusalimie?Ma urassa kwa nini unapenda kuniona mdogo lakini?