Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu

Inasemekana watu wenye akili nyingi ni waaminifu.

Kwaiyo ukiona una mpenz kiruka njia jua yaliyomo hayamo!
Mfalme Suleiman,mtume Muhammad s.a.w
King mswati, Bill Clinton' n Lewinsky.
Unataka kuwalazimisha watu watulie huwezi shindana na asili. Unajua ni kwa nini mwanaume aliwekewa tamaa kubwa na sex ,kazi ya mwanaume hapa duniani ni sex and success seeker ,hana Mambo mengi sana
 
tamaa na umalaya havina uhusiano
 
Hibi kuwa polygamous (kuwa na wake wengi au mahusiano mengi) ni kutokuwa muaminifu?
 
Huu utafiti wa manane ya usiku una utata.

Ati. Uzi teyari.

CHADEMA wanaenda kunyukana mtaani.
 
Ubongo wa genius una mambo mengi ya kuwaza, lakini kilaza anawaza pombe na ngono tuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…