Inasemekana Young D karudia kubwia unga

Inasemekana Young D karudia kubwia unga

Hii staili ya kuacha unga ya wasanii ndio uwa inanishangaza.. Unaachaje unga kirahisi hivyo!

Wasanii wetu wakae wakijua unga hauna mjanja.. Unga ata uufiche vipi kuna siku utakuumbua tu... Tunasubiri wajanja kina Mr blue, TID, Babuu, Mox, Majani, Bushoke ,Q chilla nk tuuone mwisho wao .

Btw hivi Tippo wa Zizu yupo wapi? Ana dhambi nyingi sana huyu jamaa.
Tippo wa zizzu ana dhambi gani..?
 
Mjanja hatumii unga vijana wengi wanaangamia Kwa maisha ya kuiga,hawasomi alama za wakati ukiwa juu kwenye chati fikiria kujipanga ukishuka kisanaa una mbadala gani usimame kimaisha.
 
yanawaumbua sana....next on the line...wema
 
Back
Top Bottom