kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Hiyo ni asili ya binadamu.... Kupambana na hii hali trying to Play low-key as much as you can... Na pia kama umeajiriwa hakikisha hauoneshi show-offs ambazo zina attract chuki.Inakuwaje watu kuchukizwa Kwa kuona mtumishi mpya ameajiriwa department yao?
Mtu umeripoti kazini, baada ya kuanza kazi na kuonesha utendaji mzuri mwanzoni, baadhi ya watumishi wenzako wanaonesha chuki au kuchukizwa kimya kimya na ujio wako.
Sasa najiuliza, ni hofu ya competition au wanahisi labda utaziba riziki yao? Kama ni ajira sote tupo chini ya serikali, Sasa hofu ya nini na sote tunatumikia taifa letu?
Najitahidi sana kuwa low key na kutimiza majukumu yangu, lakini baadhi wananuna na kuchukia kuona nafanya kazi vizuri kuliko wao wenye miaka mingi kazini.Hiyo ni asili ya binadamu.... Kupambana na hii hali trying to Play low-key as much as you can... Na pia kama umeajiriwa hakikisha hauoneshi show-offs ambazo zina attract chuki.