ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wabunge wa Simba na Yanga ndio waanzlishi ikafuata wasemaji na mashabiki wakawa watu wa mwisho.Hivi hizi timu zenu za kisiasa Zina matatizo gani hasa? Yaani vyombo vya habari vimejaa stori za Yanga na Simba Kuzodoana na kuleteana fitina nk kana kwamba ndio Zinaenda kukutana mwisho wa wiki kumbe zitaenda kucheza na Wapinzani wao tena Nje ya Nchi na timu kubwa.
Hivi huu ujinga na upuuzi wa Yanga na Simba wanaofanya Iko hivyo na timu zingine huko Kwa wenzetu au? Ukiwa na akili timamu ni ngumu sana kuwaelewa Hawa Simba na Yanga.
My Take
Ili wapate adabu naombea Al Ahly na Mamelodi watoe vichapo vya Nguvu na vya aibu labda watajifunza wapi kunatakiwa kuwekwa concentration maana upuuzi umezidi.
Influence hiyo labda mnapata Kwa wajinga na punguani wa humu Tanzania,huko Nje hakuna Cha maana mnafanya.anzisha timu yako na wewe uwekezekeze unavyotaka
wenzako wanavyozodoana ndivyo wanavyopata influence na kupata hela
Vyema Kuzodoana ni sawa vinashindania Dola na silaha ni mdomo.Sasa Simba na Yanga mdomo inahusikaje na kucheza mpira?Wabunge wa Simba na Yanga ndio waanzlishi ikafuata wasemaji na mashabiki wakawa watu wa mwisho.
CCM yenyewe inaizodoa CHADEMA badala ya kufokasi na kununulia wananchi wake kondom wanasubiria za msaada toka mareksni.
We sio mtu mpira,raha ya mpira kuchekana na kuzodoana tena sisi tunafanya kistaarab.Hujaenda kukutana na mashabiki wa Man City na Man Utd,Arsenal na Spurs, Liverpool na Everton, Madrid na Barca,Madrid na Atletico Madrid, Barca na Espanyol halafu kuna hawa Boca Junior na River plate yaani hawa wamepitiliza mashabiki wanachapana ngumi ndani na nje ya uwanja kuna mechi yao moja ilihamisiwa Spain kwenye uwanja wa Madrid baada ya kuwa na vurugu kubwa. Haafu kama timu za Uingereza mashabiki wanaingia uwanjani waki wamelewa Derby zao zinakuwa si za kitoto.Hivi hizi timu zenu za kisiasa Zina matatizo gani hasa? Yaani vyombo vya habari vimejaa stori za Yanga na Simba Kuzodoana na kuleteana fitina nk kana kwamba ndio Zinaenda kukutana mwisho wa wiki kumbe zitaenda kucheza na Wapinzani wao tena Nje ya Nchi na timu kubwa.
Hivi huu ujinga na upuuzi wa Yanga na Simba wanaofanya Iko hivyo na timu zingine huko Kwa wenzetu au? Ukiwa na akili timamu ni ngumu sana kuwaelewa Hawa Simba na Yanga.
My Take
Ili wapate adabu naombea Al Ahly na Mamelodi watoe vichapo vya Nguvu na vya aibu labda watajifunza wapi kunatakiwa kuwekwa concentration maana upuuzi umezidi.
View: https://www.instagram.com/p/C5S6Qsbt8Pw/?igsh=MTV3NGg4NDZ3dW5rag==
Unazodoa mwenzio kwenye mechi zisizokuhusu? Haya endeleeni Kuzodoana mmja tayari katolews huko ,Bado yule wa Cairo ππKusodoana ndiko kunaleta lazaa ya soka letu Tz,ndoo maana linakua kwa Kasi.Kenya hawazodoani wako wapi?
Wanatolewa wote, CAF Ina Timu zao hatuaa inayofuuata.Unazodoa mwenzio kwenye mechi zisizokuhusu? Haya endeleeni Kuzodoana mmja tayari katolews huko ,Bado yule wa Cairo ππ
Timu zao timu gani? Na Simba kanyonyolewa huko Kwa makosa ya kina Kapombe wewe unalete stori za kipunguani?Wanatolewa wote, CAF Ina Timu zao hatuaa inayofuuata.