Inashangaza kuona Simba na Yanga zinawekeza nguvu kubwa kuzodoana badala ya mechi za wapinzani wao

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Hivi hizi timu zenu za kisiasa Zina matatizo gani hasa? Yaani vyombo vya habari vimejaa stori za Yanga na Simba Kuzodoana na kuleteana fitina nk kana kwamba ndio Zinaenda kukutana mwisho wa wiki kumbe zitaenda kucheza na Wapinzani wao tena Nje ya Nchi na timu kubwa.

Hivi huu ujinga na upuuzi wa Yanga na Simba wanaofanya Iko hivyo na timu zingine huko Kwa wenzetu au? Ukiwa na akili timamu ni ngumu sana kuwaelewa Hawa Simba na Yanga.

My Take
Ili wapate adabu naombea Al Ahly na Mamelodi watoe vichapo vya Nguvu na vya aibu labda watajifunza wapi kunatakiwa kuwekwa concentration maana upuuzi umezidi.

View: https://www.instagram.com/p/C5S6Qsbt8Pw/?igsh=MTV3NGg4NDZ3dW5rag==
 
anzisha timu yako na wewe uwekezekeze unavyotaka

wenzako wanavyozodoana ndivyo wanavyopata influence na kupata hela
 
Wabunge wa Simba na Yanga ndio waanzlishi ikafuata wasemaji na mashabiki wakawa watu wa mwisho.
CCM yenyewe inaizodoa CHADEMA badala ya kufokasi na kununulia wananchi wake kondom wanasubiria za msaada toka mareksni.
 
Influence hiyo labda mnapata Kwa wajinga na punguani wa humu Tanzania,huko Nje hakuna Cha maana mnafanya.

Weekend hii mtapata majibu ya upumbavu wenu.
 
Wabunge wa Simba na Yanga ndio waanzlishi ikafuata wasemaji na mashabiki wakawa watu wa mwisho.
CCM yenyewe inaizodoa CHADEMA badala ya kufokasi na kununulia wananchi wake kondom wanasubiria za msaada toka mareksni.
Vyema Kuzodoana ni sawa vinashindania Dola na silaha ni mdomo.Sasa Simba na Yanga mdomo inahusikaje na kucheza mpira?

Kwani Simba na Yanga ndio zinakutana kwenye club bingwa Afrika au?
 
Hongera sana Mkuu.

Viongozi Mashabiki, wachezaji na wawekezaji wa Hizo timu wengi hamnazo mkuu.

Mashabiki ndio Mbumbumbu kabisa kule kwingine wenye akili timamu ni wawili tu.

WOTE HAWANA AKILI KABISA.
 
Hao wanaozodoana ni mashabiki tu lakini viongozi na wachezaji wapo kambini kujifua vema.

Hilo lina athari gani mtani?
 
IMG-20240402-WA0466.jpg
 
Hivi hizi timu zenu za kisiasa Zina matatizo gani hasa? Yaani vyombo vya habari vimejaa stori za Yanga na Simba Kuzodoana na kuleteana fitina nk kana kwamba ndio Zinaenda kukutana mwisho wa wiki kumbe zitaenda kucheza na Wapinzani wao tena Nje ya Nchi na timu kubwa.

Hivi huu ujinga na upuuzi wa Yanga na Simba wanaofanya Iko hivyo na timu zingine huko Kwa wenzetu au? Ukiwa na akili timamu ni ngumu sana kuwaelewa Hawa Simba na Yanga.

My Take
Ili wapate adabu naombea Al Ahly na Mamelodi watoe vichapo vya Nguvu na vya aibu labda watajifunza wapi kunatakiwa kuwekwa concentration maana upuuzi umezidi.

View: https://www.instagram.com/p/C5S6Qsbt8Pw/?igsh=MTV3NGg4NDZ3dW5rag==

We sio mtu mpira,raha ya mpira kuchekana na kuzodoana tena sisi tunafanya kistaarab.Hujaenda kukutana na mashabiki wa Man City na Man Utd,Arsenal na Spurs, Liverpool na Everton, Madrid na Barca,Madrid na Atletico Madrid, Barca na Espanyol halafu kuna hawa Boca Junior na River plate yaani hawa wamepitiliza mashabiki wanachapana ngumi ndani na nje ya uwanja kuna mechi yao moja ilihamisiwa Spain kwenye uwanja wa Madrid baada ya kuwa na vurugu kubwa. Haafu kama timu za Uingereza mashabiki wanaingia uwanjani waki wamelewa Derby zao zinakuwa si za kitoto.

Ww kwa kuwa si mtu wa mpira umeamua kuwa chawa wa wanasiasa huwezi kujua raha ya mpira,upinzani na Derby. Wewe utuletee mabadiliko la baraza jipya na vyeo vipya vya teuzi tutakuelewa.Ila huku kwenye mpira hapakufai.
 
Kusodoana ndiko kunaleta lazaa ya soka letu Tz,ndoo maana linakua kwa Kasi.Kenya hawazodoani wako wapi?
Unazodoa mwenzio kwenye mechi zisizokuhusu? Haya endeleeni Kuzodoana mmja tayari katolews huko ,Bado yule wa Cairo 😁😁
 
Wanatolewa wote, CAF Ina Timu zao hatuaa inayofuuata.
Timu zao timu gani? Na Simba kanyonyolewa huko Kwa makosa ya kina Kapombe wewe unalete stori za kipunguani?

Endeleeni Kuzodoana ndicho mnakiweza ila sio mechi za Kimataifa
 
Back
Top Bottom