Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

Katiba kukiukwa ni kawaida kwa Tanzania,lilishapigiwa kelele hili sana tuu,labda wewe ulikuwa peponi na mabikira 72.

Prof. Assad ni rafiki yangu, nimemwambia aache kuongelea hilo maana itaonekana kuwa ana kinyongo bado.
AACHE KUONGELEA VIPI SASA,YAANI AACHE KUDAI STAHIKI KISA NYINYI MTACHUKIA AU MTAMUONA ANA KINYONGO??
 
Kama aliona hakutendewa haki angekwenda Mahakamani,kipindi kile kile sio kulia lia hapa sasa hivi.
 
Kama anastahili kupewa haki zake basi apewa haki zake.
Pro Asad hajafanya lolote baya. Infact amefanya jambo la maana sana kuelezea jinsi viongozi wetu wanavyofanya nchi kama familia zao. Kuweka rekodi kama hizi inasaidia sana ili tujue matatizo yanayotukabili kwani kilichompa Asad ni hujuma kwa watanzania wote. Hawa wote wanaopiga kelele ni wajinga na nadhani wengi elimu zao ni ndogo.
 
SIKU MOJA ASTAAFU KAZI KIVIPI??....BY THE TIME ANAONDOLEWA ALIKUWA BADO KAMA MIAKA MINNE AFIKISHE MIAKA 60,SASA UNASEMAJE KUWA ALIBAKISHA SIKU MOJA??LABDA USEMA KUWA ALIBAKISHA SIKU MOJA KUFIKISHA MIAKA 55.
 
Nashukuru sana kwa kumwelezea huyo,ajabu sana hawa eti wana fikiria kuwa eti analalamika.

Haki haikutendeka,lazima haki itafutwe.
 
Kwa kigezo gani ni mdini? Mbona kwenye kudai kwake stahiki zake, hatujaona akitumia aya yoyote ile ya Qur'an zaidi ya vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Watu wa ajabu sana,mtu kudai haki yake kisa tuh kawa muislam basi anageuka kuwa mdini??na ukiwaacha hawa watu waendelee kuzungumza hivi watadhani kuwa wanachokifanya ni sahihi.
 
CCM mmemwonea sana huyu Mzee kwasababu akikuwa Mtu wa kunyoosha bila kupindisha pindisha
 
Jamaa chenga sana,aliweka mpaka sehemu ya kuswalia Ofisini.Ofice ya Umma unaenda kuweka sehemu ya kuswali.Huki akijua fika Serikali haina dini.
Shida nini??muislam ni mtu anaeswali five prayers kwa siku.

Kuna ubaya gani muda wa swala mtu akajifanyia zake ibada,mbona nyinyi mnabeba hadi misalaba na kuweka maofisini au kupiga nyimbo za injili??kila mtu ana ibada zake...MAKAFIRI ACHENI CHUKI ZENU.
 
Kwa kigezo gani ni mdini? Mbona kwenye kudai kwake stahiki zake, hatujaona akitumia aya yoyote ile ya Qur'an zaidi ya vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
MAKAFIRI SIKU ZOTE NI WATU WA CHUKI TUH,NA YULE JAMAA YAO MWENDAZAKE ALIKUWA NI KINARA ZA HIZO CHUKI,

BILA SHAKA,ALIWACHUKIA DR DAU NA PROF ASSAD SABABU TUH YA CHUKI ZAKE NA UISLAM NA IMANI YAO,YUKO WAPI SASA NA CHUKI ZAKE??

MAKAFIRI CHUKI ZAO NDIYO CHANZO CHA KUUMIA KWAO ROHO NA KUFA.
 
Uzuri kwa sasa ni wa imani yake,,,, angekua mgalatia naona kilio kingefikishwa hadi dubei kwa ami.....akimsikia atamsaidia ndugu yake katika imani
 
Uzuri kwa sasa ni wa imani yake,,,, angekua mgalatia naona kilio kingefikishwa hadi dubei kwa ami.....akimsikia atamsaidia ndugu yake katika imani
ISHU SIYO KUWA HUYU NI MTU WA IMANI GANI,HAKI ITENDEKE PASIPO NA KUANGALIA HUYU NI MTU WA IMANI GANI.

SHIDA YA MAKAFIRI WENGI WAO NI KUDHANI KUWA CHUKI ZAO DHIDI YA UISLAM NA WAISLAM BASI ZINAWEZA KUWAFANYA WAISLAM WAKAWA WANYONGE KATIKA KUDAI HAKI NA STAHIKI ZAO,HILO HALIPO.

HATA KAMA RAIS ANGEKUWA NI KAFIRI,BADO HAKI INGEDAIWA VILE VILE.
 
Kamlilie ustaadhat
 
Huyo Profesa wa kulia Lia kazidi kudeka.
Huyo siyo Profesa uchwara kama hao mapropesa wa KANISA.

Ni the only Profesa ambae alisimama katika weledi wake na kuliambia ukweli bunge dhaifu la ndugai,na hata jamaa yenu dikteta uchwara,wote aliwadindia na kusimama kidete,huyo ndie Profesa anaejitambua sasa.
 
Basi afungue kesi mahakamani wewe ulitaka afanyaje?
 
Kamlilie ustaadhat
Huyo hana haja ya kulia,lazima utambue kuwa huyo ni mwanaume kweli kweli, jamaa yenu jiwe mlikuwa mnajinyea akiongea,ila yeye alisimama na kumweleza ukweli kuwa hii 1.5Trillion haijulikani ilipo na jiwe akanywea HADI akaona amtimue kinyume cha katiba.

Alisimama na kumwambia spika ndugai kuwa bunge lako ni dhaifu na akasimamia kauli yake.

Makafiri siku zote hamuwataki wapenda haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…