Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

Napingana na alichofanyiwa, lakini napingana na kulialia kwake pia.
Atafute suluhisho kama mtu aliyeelimika. Hizi media zitamshushia hadhi yake.
Kama kudai haki ni kulalamika basi Wacha ibakie kuwa hivyo, case Iko mahakamani.,hata wakiamua vinginevyo.
 
Utaratibu unatakaje baada ya kuondolewa kinyume na utaratibu ?

Je haki yake ni kulalamika ama inabidi arudishwe kwa sasa hivi ?

Nauliza kwa sasa hivi sheria inataka afanyiwe nini profesa mussa ?
Tutasubiri majibu ya Mahakama.

Yeye alichofanya ni kutaka Mahakama itoe tafsiri ya kilichofanyika,kwa kuwa ni mara ya Kwanza kufanyika ndani ya Taifa hili.

Let's say keshafikisha Miaka 60,kama alidhulumiwa kuondolewa before hajafikisha hiyo Miaka basi apewe stahiki zote zoote.
 
Yaani mna wa imani yenu na mnalialia bado,,,kweli kulialia ni jadi yenu makobazi
Makobazi unayoyachukia ndiyo yanatamba Ikulu sasa .

Kama nawaona roho zenu za chuki zinavyosokota makafiri.
 
Makobazi unayoyachukia ndiyo yanatamba Ikulu sasa .

Kama nawaona roho zenu za chuki zinavyosokota makafiri.
Sasa wanatamba ila bado unalialia kuna faida gani sasa.....uzuri tunaipenda ile katiba yetu aka kale kakitabu,,,mwanzo kabisa inasema serikali haina dini wagwaaan
 
Kama kudai haki ni kulalamika basi Wacha ibakie kuwa hivyo, case Iko mahakamani.,hata wakiamua vinginevyo.
Yeye kama msomi ambaye amewahi kuketi kwenye ofisi kubwa, hawezi 'kulalamika' kama akina yakhe.
Aiache mahakama ifanye kazi yake.
 
Yan wagalatia miyeyusho sana mtu ukiwa una swali tu wanakuona mdini
Au ukivaa kanzu tu wanakuona mdini

Hawa jamaa zetu wamekuwa brainwashed sana na wazungu aiseee
 
Kama anastahili kupewa haki zake basi apewa haki zake.
Vipi huyu Professor Wako Mvaa kobazi kakutumia uje Jamvini Ulete Oja Zake ili Watu Wamtetee Nini? Mwambie Akuzaliwe na kile Cheo Cha UCAG, Kila Dhama na Wakati Wake, Wenziwe kina Beno ndulu Wako Ughaibuni Wanapiga Pesa ndefu, Yeye kutwa Analialia Arudishwe Cheo Chake, ni Aibu Sana Kwa Msomi kama yule kulialia Mitandaoni, Mwambie Mfia Dini Mwenzio Anatia Aibu
 

AKAZE MAKALIO APAMBANE NA MAISHA YAKE AACHE KULIA LIA. YEYE NI. CAG WA KAWAIDA KAMA WENGINE. INGAWA TUNATAKA KUMKUZA SANA. BUT YEYE MWENYEWE ANAONESHA UDHAIFU. HANA JIPYA ANALIA LIA KAMA TOTO LINALODEKA. AKAZE MAKALIO.
 
Poleni sana watanzania wenzangu kwa msiba huu rulionao wa kutozingatia matakwa ya katiba kwenye uendeshaji wa shughuli za Serikali. Kama imefikia pahala Raia anaita katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kijitabu,itoshe kusema kuwa hii ni dharau kwa Taifa,na matokeo yake ni ukiukwaji wa misingi ya katiba.

Itoshe kusema kuwa CCM na utawala wake ukae pembeni.
 
SIKU MOJA ASTAAFU KAZI KIVIPI??....BY THE TIME ANAONDOLEWA ALIKUWA BADO KAMA MIAKA MINNE AFIKISHE MIAKA 60,SASA UNASEMAJE KUWA ALIBAKISHA SIKU MOJA??LABDA USEMA KUWA ALIBAKISHA SIKU MOJA KUFIKISHA MIAKA 55.
aliondolewa au alistaafu? anapata mafao ya uCAG au hapati? aliteuliwa au alijiteua.l yeye alifikiri kwasababu ya kinga za kikatiba za CAG basi yupo juu ya kila mtu hata akileta uhafidhina wake wa ajabu ajabu. ndio mjifunze, hapa sio afiganistan.
 
aliondolewa au alistaafu? anapata mafao ya uCAG au hapati? aliteuliwa au alijiteua.l yeye alifikiri kwasababu ya kinga za kikatiba za CAG basi yupo juu ya kila mtu hata akileta uhafidhina wake wa ajabu ajabu. ndio mjifunze, hapa sio afiganistan.
Mbona unaongea kama Leo hujakanyaga mafuta kwa mwamposa?

Hapa siyo Afghanistan,kwani nani kakueleza kuwa hapa ni Vatican?

Ulishaelezwa kuwa muda wa kustaafu CAG ni Miaka 60,Miaka 55 hiyo ni hiyari yake mwenyewe aamue kustaafu.

Jamaa yako Mwendazake alimuondoa kwa lazima alipofikisha Miaka 55,kitu usichoelewa mwana kondoo wa mwamposa?
 
AKAZE MAKALIO APAMBANE NA MAISHA YAKE AACHE KULIA LIA. YEYE NI. CAG WA KAWAIDA KAMA WENGINE. INGAWA TUNATAKA KUMKUZA SANA. BUT YEYE MWENYEWE ANAONESHA UDHAIFU. HANA JIPYA ANALIA LIA KAMA TOTO LINALODEKA. AKAZE MAKALIO.
Ukikaza wewe makalio inatosha,siyo kila mtu ana makalio yaliyolegea kama yako ambayo yanahitajika kukazwa.

Ni Profesa Pekee ambae alikuwa hero kusimama na kumdindia Jamaa yenu dikteta uchwara na akasimamia kauli zake.

Na HADI Leo BADO yupo imara kudai haki zake.
 
Why don you address this to Samia Suluhu? Why she can not help Mr Said from crying?
Why Samia administration is quite? Why Samia ca not help his Muslim brother from depression?
 
Shida yenu makafiri ni kukosa Akili.na kutokana na kukosa kwenu akili HADI watu kama mwamposa wanaamua kuwapiga pesa tuh.

Au papa anaamua tuh kuwaambia mfunge ndoa za jinsia MOJA na nyinyi mnakubali tuh.

Hakuna sehemu ambaoo Prof Assad analalamika,kudai stahiki zako siyo kulalamika.

Ni haki yake kudai stahiki zake,siyo kurudishwa kwenye nafasi yake,elewa wewe muimba kwaya...haki kudaiwa ni wajibu.
 
Why don you address this to Samia Suluhu? Why she can not help Mr Said from crying?
Why Samia administration is quite? Why Samia ca not help his Muslim brother from depression?
This comes as a response to those cockroaches who claim that the former CAG is crying a river for being removed from that Post years back.

To make things clear he's not crying,he is fighting for his rights.

And so far he has already addressed the matter to the government,why should he have to address it to Samia?It's not a personal matter..
 
Haki yake ni kulipwa STAHIKI ZAKE AKIWA TAYARI AMESHAFIKISHA MIAKA 60.,SASA HAKULIPWA NA KAONDOLEWA KINYUME NA UTARATIBU.
Adai haki yake kwa chura kiziwi, au aende mahakamani, au asome albadili, au asome kurujuan, au umma wa allah muandamane kumdaia haki yake, au vaeni mabomu mjitoe mhanga mpaka apewe haki yake
 
Kama ambavyo sheikh sharif majini anavyokula pesa za miislamu mijinga, kama ambavyo miislamu mijinga inavyotoa hela kusomewa dua,
Kama ambavyo mtume mudi alivyokulana na al hussein
Lazima assad apewe haki yake hata ikibidi kujivika mabomu ajitoe mhanga
 
Jamaa chenga sana,aliweka mpaka sehemu ya kuswalia Ofisini.Ofice ya Umma unaenda kuweka sehemu ya kuswali.Huki akijua fika Serikali haina dini.
Hiv aliweka msikiti au sehemu ya kuswalia???Makafiri hawatoacha kuusakama uislam mpaka mwisho wa dunia......leo ktk ofisi za umma kuckia kwaya ni jambo la kawaida tu na hata sikukuu zenu kuweka mapambo ktk ofisi hizo wala hukuti watu wakipiga kelele kwa kuwa Allah ameshabainisha chuki zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…