Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

Bila shaka wewe ni mtu wa karibu wa huyo prof mjinga, mwambie hakusoma kuwa CAG, kama alikubali uteuzi anapinga vipi utenguzi au alijiona yeye ndio bora zaidi, yaani kupiga mahesabu tu si hata asiyesomea accounting anaweza si umemuona Kichere?
 
Ukikaza wewe makalio inatosha,siyo kila mtu ana makalio yaliyolegea kama yako ambayo yanahitajika kukazwa.

Ni Profesa Pekee ambae alikuwa hero kusimama na kumdindia Jamaa yenu dikteta uchwara na akasimamia kauli zake.

Na HADI Leo BADO yupo imara kudai haki zake.

SO YEYE ALEGEZE? HAPO NIMEKUELEWA. NDO MAANA ANA MADEKO.
 
Bila shaka wewe ni mtu wa karibu wa huyo prof mjinga, mwambie hakusoma kuwa CAG, kama alikubali uteuzi anapinga vipi utenguzi au alijiona yeye ndio bora zaidi, yaani kupiga mahesabu tu si hata asiyesomea accounting anaweza si umemuona Kichere?
Sasa unataka kumfananisha kichere na Assad?

Kichere ni mwanafunzi wa Assad hapo Udsm we Kaffir...

Kama kile aliesomea Accounts anaweza kuwa CAG basi nenda na wewe ukawe CAG...

Makafiri akili zenu fyatu sana.
 
Ila makafiri akili hayana kabsa,masista yanavaa shungi ila yenyw yapo.yapo tu
Makafiri ni watu wa kuwaonea huruma tuh,utakuta Kaffir ni Profesa au Doctor kabisa,anaenda Toilet anakunya,anaacha kutumia maji kujisafisha anachukua Toilet Paper,sasa we unadhan watu wa kuwazingatia makafiri.
 
Kama ambavyo sheikh sharif majini anavyokula pesa za miislamu mijinga, kama ambavyo miislamu mijinga inavyotoa hela kusomewa dua,
Kama ambavyo mtume mudi alivyokulana na al hussein
Lazima assad apewe haki yake hata ikibidi kujivika mabomu ajitoe mhanga
Kumbe mnajua kuwa wanaoliwa ni waislam wajinga au siyo??

Sasa wewe mwerevu mzima Tena usikute ni graduate kabisa,kinachokufanya uchukue chupi upeleke kwa mwamposa aiombee eti ili uweze kushika ujauzito ni nini?

Kwani haujui sababu za wewe kukosa kushika mimba kibaiolojia ni zipi HADI ushikiwe akili kiasi hiko na mwamposa?
 
Hiv aliweka msikiti au sehemu ya kuswalia???Makafiri hawatoacha kuusakama uislam mpaka mwisho wa dunia......leo ktk ofisi za umma kuckia kwaya ni jambo la kawaida tu na hata sikukuu zenu kuweka mapambo ktk ofisi hizo wala hukuti watu wakipiga kelele kwa kuwa Allah ameshabainisha chuki zenu.
Ajabu sana makafiri.

Siku kuu za kristmas zikifika utakuta ofisi zoote za umma zimepambwa kristmas trees kuanzia milangoni HADI ndani maofisini,wao wanaona kwao ni sawa tuh ila cha ajabu muislam akiweka mswala wake apate ibada basi ni udini, makafiri wa nchi hii tabu sana mbwa hawa.
 
That's the same question I was asking,yaani mtu aache kudai haki zake eti kisa makafiri watakuja kuongea shombo kuwa analalamika??
Kwa hiyo asidai haki yake kwa kuwa wewe unamwona analialia?
 
Kumbe mnajua kuwa wanaoliwa ni waislam wajinga au siyo??

Sasa wewe mwerevu mzima Tena usikute ni graduate kabisa,kinachokufanya uchukue chupi upeleke kwa mwamposa aiombee eti ili uweze kushika ujauzito ni nini?

Kwani haujui sababu za wewe kukosa kushika mimba kibaiolojia ni zipi HADI ushikiwe akili kiasi hiko na mwamposa?
Kumbe wewe unapelekaja chupi zako kwa mwamposa duh pole sana kweli wewe muislam mjinga
 
Aache kulia lia kama mtoto mdogo!

Ana maumivu sana na U CAG.. Akamwambie chura kiziwi ampe si ni mwenzake katika imani
Wengi hatukupenda kuondoka kwake, lakini kwa trend hii, naona kumbe hafai na alistahili kuondolewa.
 
Mbona samia rais muislamu hampi haki zake mbona hili swali unalikwepa
Mbona samia rais muislamu hampi haki zake mbona hili swali unalikwepa
Thats why before sijakujibu nimekujuza kuwa kwani inatumika Qur an kumlipa Assad had uje na hoja kuwa SAMIA NI RAIS MUISLAM??

Makafiri kila kitu lazima mkitazame kwa jicho la udini kwanza,suala la ASSAD lipo mahakama ya Rufaa.

Na hata alivyohojiwa alisema hivyo,ukitaka Samia sasa afanye nini??na umeshawahi msikia ASSAD ANAILALAMIKIA SERIKALI HII AU RAIS HUYU??

Anajua fika madudu haya hakufanya Rais huyu,lakini kwa kuwa serikali ipo haijamzuia yeye kufile case mahakamani,usichoelewa wewe nini??

Mbona kwa mwamposa akikueleza kanyaga mafuta upate utajiri faster tuh unakanyaga??
 
Friends and Our Enemies.

Nimeona Mjadala kumuhusu aliekawa CAG Ngangari kabisa kuwahi kutokea ndani ya TAIFA HILI ukiendelea mitandaoni hususani hapa JF.

Hii imekuja baada ya yale mahojiano baina yake na mtangazi wa Crown Tv Salim Kikeke katika kipindi chake cha Kasri la kikeke.

Alichozungumza Prof ASSAD katika mahojioano yale siyo kulalamika wala kuumia kwa yeye kuondolewa katika nafasi ile.

Bali alichozungumza yeye ni kwamba kitendo cha yeye kuondolewa hakikuwa kitatiba kama inavyosema ARTICLE 144 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Mara baada ya yeye kuondolewa kwenye nafasi hiyo kwanza alikaa muda mrefu sana pasi na kupewa stahiki zake,lakini sasa baada ya kufuatilia kwa muda mrefu serikalini mwishowe akapewa stahiki zake kwa maana ya kuingizwa kwa malipo yake BANK.

Kama ilivyo ada kwa mtu yeyote,lazima mtu utake kuona mchanganuo wa hiyo LUMPSUM AMOUNT ambayo umelipwa na viambatanisho vya wewe kulipwa hizo stahiki zako.

Barua aliyopewa yeye inayojustify kulipwa kwa fedha hizo imesema kwamba ni malipo kwa ajili ya Voluntary Retirement kutoka kwenye position yake ya CAG.

Lakini anachosema yeye ni kwamba yeye hakuvoluntere kuretire..kilichofanyika ni kuondolewa kwa nguvu kutoka kwenye nafasi hiyo,Forceful Termination.,kwanini mamlaka kipindi hiko iseme uongo juu ya kumuondoa kwake??

Hiyo ndiyo hoja yake,na siyo kwamba yeye analalamika kuwa angependa kuendelea na nafasi hiyo la hasha,hata kama mtu anaondolewa basi si ni lazima taratibu za kikatiba zifuatwe??

Kufuatia na dhulma hiyo,alichofanya yeye ni kufile case mahakamani,kwani yeye hakuresign wala hakuvoluntere kuondoka katika nafasi ile,kwa maana hiyo ni wazi kwamba kuna maslahi yake ameyakosa ambayo alistahili kuyapata,kama umri wa kustaafu ni miaka 60,na yeye kaondolewa kabla ya umri huo maana yake ni kwamba kuna miaka kadhaa mbele ambayo amenyimwa stahiki zake kikatiba.

Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

ARTICLE 144 YA KATIBA YA JAMUHRI YA MUUNGANO WA TANZANIA NI HII HAPA CHINI;

144.-(1) Without prejudice to the other provisions of this Article, theController and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attaining the age of sixty or any other age which shall be prescribed by a law enacted by Parliament.Act No.15of 1984Art.43Act No.12of 1995Art.19

(2) The Controller and Auditor-General may be removed from office only for inability to perform the functions of his office (either due to illness or to another reason) or for misbehavior, or for violating the provisions of the law-concerning the ethics of public leaders and shall not be so removed except in accordance with the provisions of sub article (4) of this Article.

(3) if the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows a) the President shall appoint a Special Tribunal which shall consist of a Chairman and not less than two other members. The Chairman and at least half of the other members of that Special Tribunal shall be persons who are or have been Judges of the High Court or of the

Court of Appeal in any country within the Commonwealth;(b) the Special Tribunal shall investigate and submit report to the President on whole matter and shall advise him whether or not the Controller and Auditor General should be removed from office in accordance with the provisions of this Article on the grounds of inability to perform his functions due to illness or any other reason or on grounds of misbehavior.


(4) If the Special Tribunal appointed in accordance with the provisions of sub article (3) advises the President that the Controller and Auditor-General be removed from office on grounds of inability to perform functions of his office due to illness or any other reason or on grounds of misbehavior, then the President shall remove him from office.

(5) If the question of removing the Controller and Auditor-General has been referred to a Special Tribunal for investigation pursuant to the provisions of this Article, the President may suspend the Controller and Auditor-General from office, and the President may at any time rescind the decision to suspend the Controller and Auditor-General and in any case such decision shall lapse if the Special Tribunal advises the President that the Controller and Auditor-General be not removed from office.

(6) A person who holds or who has held the office of Controller and Auditor-General shall not be appointed to, or act in, any other office in the service of the Government of the Untied Republic

. (7) The provisions of this Article shall not apply to any person appointed acting Controller and Auditor-General.


Kwahiyo ni haki kwa Prof Assad kuendelea kudai haki na stahiki zake.

Ni wazi kuwa mwendazake alikuwa hataki kufanya kazi na Prof Assad lakini alipaswa afuate utaratibu,na hata kama yeye mwendazake hayupo hivi sasa,jambo lile hakufanya yeye kama mwendazake,alifanya yeye kama Rais,na Taasisi hiyo bado ipo na yeye bado anayo haki ya kufuatilia stahiki zake.

Alishaondoka. Sasa tunafanyaje? Arudi kwa kutumia bunduki?
 
Back
Top Bottom