Mkuu, ukiiogopa ndio hautaipata, au ndio itaisha? Sema hao wanazingua kwa kuwa hawachukui tahadhari.
Ila kuiogopa hata sio solution, sanasana utasababisha uwe immunocompromised na hivyo kwenye hatari zaidi ya kuipata.
Furahia na uchukue tahadhari tu Mkuu, hata ukihuzunika haubadilishi chochote.